Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Tanzania itaanza na Chad kwenye michuano ya awali ya Kombe la Afrika 2014 na kama itashinda itakuwa kundi C pamoja na Ivory Coast, Morocco na Gambia. Group A: South Africa, Botswana, Central...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa Michael Wambura amekuwa akivutana na uongozi wa Simba kwenye issue ya uchaguzi wa viongozi ktk klabu hiyo. Hii ni mara ya pili Wambura anawekewa pingamizi baada ya kufanikiwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine Michael Richard Wambura ataukosa uchaguzi wa Simba S.C 2014. Hiyo ni kutokana na kenguliwa na TFF kwenye kikao kilichomalizika jioni hii. Uchaguzi unayatarajiwa kifanyika JUNI...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Rooney aomba msamaha mashabiki wa England.mshambuliaji huyu wa uingereza katika ukurasa wake wa facebook akiwataka radhi mashabiki wa uingereza waliosafiri na waliokuwepo nyumban kwao wakiangalia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa TFF INATAKIWA kuundwa kwa kamati ya Maadili ambayo mpaka sasa haina wajumbe kwa mujibu wa katiba mpya ya Simba s.c iliyopitishwa hivi majuzi. Tarehe ya uchaguzi itapangwa upya...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Shirikisho la soka la Ivory coast limethibitisha hilo muda mfupi uliopita. Ibrahim Toure amefariki jijini MANCHESTER akiwa na umri wa miaka 28 .Alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu katika timu ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nianze na kukupa pole katika kashkashi unazokumbana nazo katika kutimiza ndoto yako ya kuwa kiongozi katika taasisi za michezo katika nchi ya Tanzania. Kwanza mimi binafsi si mwana michezo na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pole Michael Richard Wambura , Abraham Lincoln alipata kunena, "sifa ya kwanza kabisa ya kiongozi ni yule anayeutaka uongozi" Katika wagombea woote wa nafasi ya Urasi pale Msimbazi ni wewe pekee...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Utabiri umetimia haujatimia??? Waumini naombeni majibu au ni just kautelezi, au wajanja walihack account??
4 Reactions
70 Replies
7K Views
kama unafatilia hawa wachambuzi wa soka tbc kila wanalotabiri na matokeo yakija ni tofauti kabisa. leo wote walisema england lazima watashinda wana uhakika asilimia zote matokeo ni tofauti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi izi timu zetu za ki-Africa zina shida gani jaman kwa mfano Nigeria wameshindwaje kuwa funga Iran jaman huku sikupeana maudhi aisee au nyie ndugu zangu mwaonaje
2 Reactions
33 Replies
3K Views
http://youtu.be/LHyZ5EikBDE
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau, Katika takwimu za viwango zilizotolewa na fifa mwezi wa 6 Spain ndio namba 1 na Ureno ni namba 4. Binafsi naona hawafai ktk nafasi hizi hata kama mpira ni probability kwa asilimia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hatimaye Michael Richard Wambura amepitishwa na TFF kugombea nafasi ya Urais katika club ya simba unaotegemewa kufanyika 29 june 2014 jijini Dar es salaam. Wambura oyeee......Nawasilisha...
5 Reactions
76 Replies
10K Views
Kamati ya uchaguzi ya Simba imemuondoa tena Michaeel Wambura kwa kosa la kupiga kampeni kabla ya muda rasmi,pia imesisitiza uchaguzi upo pale pale baada ya kamati iyo kupinga tamko la TFF la...
0 Reactions
114 Replies
16K Views
Pamoja na kuwa mapenzi yangu kwa Simba ni ya kurithi,lakini timu hii imeendeshwa kiswahili swahili kwa kipindi kirefu.Ajabu uchaguzi unapofika huanzishwa mizengwe dhidi ya wagombea wanaoonekana...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Mpiganaji Michael Richard Wambura bado anaendelea kuipigania haki yake inayotishiwa kuporwa na kikundi kidogo cha watu waliojipa mamlaka ya kuwachagulia wana simba mtu anaetakiwa kuwa kiongozi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
+4 Former Asian Football Confederation President Mohammed Bin Hammam is alleged to have paid out £3 million in bribes to football officials to secure support for the 2022 Qatar world cup bid...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Premier League Opening fixtures - weekend of August 16 Arsenal v Crystal Palace Burnley v Chelsea Leicester City v Everton Liverpool v Southampton Manchester United v Swansea City Newcastle United...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Pasi 84brazil..Mexico 45 Namengineyo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom