Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Brazil wananchi wanaandamana kujengwa kwa viwanja vya mpira sababu ya uchumi wao utauwa wananchi wao Mapato watafaidika wengine Kabisa, na Wachezaji mpira wanaandamana kalenda zibadilishwe chama...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Nairobi - Kenya are through to the Dubai Sevens main cup quarter finals with a match to spare, beating France 14-5 in their second Pool A fixture. It was a cagey opening, France seeing most of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tokea bonanza hili la CECAFA kuanza bahati njema mechi takriban zote mpaka sasa nimeziona. Ukiacha mechi za ufunguzi zilizochezwa kwenye kiwanja kizuri, mechi zilizofuata zinachezwa katika...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Simba B ikiwa inaendelea kumenyana na Ruvu shooting katika michuano ya uhai,mwenyekiti aliyesimamishwa Ismail Aden Rage akiwa mwenye bashasha alionekana akiingia uwanjani hapo kuwashudia vijana...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu wanajanvi na wapenzi na wote wa Arsenal, nawaomba tujipongeze kwa mwendo tunaokwenda nao, ingawa wapinzani wetu hawapendi kukubali mafanikio yetu haya
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi kwanini wakati timu za taifa zinapocheza mechi za kirafiki, jezi zao mgongoni hayaandikwi majina yao? Kuna sheria inazuia hilo? Maana mi soka imenipitia kushoto kidogo!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivyo viwanja vya wajivuni kunakochezewa mashindano yanayoendelea ya Challenge Cup utadhani vile viwanja vya kuuzia mbuzi kule Vingunguti!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika miaka ya sabini na kitu hawa ndio walikua wachezaji mahiri wa soka la Bongo. Semainda Chuma Mwali Gobos Mwambeta na wewe tuoia unaowakumbuka
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Nimesikia habari kuwa Yanga wanampeleka Kaseja TP Mazembe kwa mkopo, je kuna ukweli wowote!!? Mwenye taarifa kamili atujuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
While CECAFA Senior challenge Cup should be treated as a tournament for testing players and experimenting, Poulsen thinks otherwise. The bulky of his squad selection are familiar faces. Against...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Baada ya kuwashuhudia na kufurahi jinsi Watoto wa Mtibwa walivyowanyonyoa watoto waliokomaa wa Simba SC mchana huu, leo usiku nitakuwa ninashabikia (temporarily) Bayer Leverkusen wakiwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau ! Mamember ! Washirika ! Wadada ! Wakaka Hivi niandikavyo Manchester United wako pitch! Campaign ni kumchinja Mnyama anaitwa Bayer Leverkusen. Mnyama keshaelekezwa qibla ! Man. U...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
mimi nijaelewa kwa nini hawa kilimanjaro wameamua kuwapambanisha simba na yanga kupitia washabiki ilihali wakujua kuna washabiki kati ya timu hizi mbili hawanyi pombe? sijaelewa maana yake...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ismail Aden Rage. MWENYEKITI aliyesimamishwa Simba, Ismail Aden Rage, ameanza kupata wakati mgumu baada ya kutishiwa kuuawa endapo ataendelea kung’ang’ania madarakani. Rage amethibitisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kim Poulsen called up a 23-man squad for the CECAFA Senior challenge cup campaign that kicks off yesterday in Nairobi, Kenya. He will have the unenviable task of culling up his squad. Three...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Vote for #TeamHisia to save him at #TPF6...sms TUSKER 12 send to; 21001 - if you are in Kenya 8338 - if you are in Uganda 15324 - If you are in Tanzania +254739966811 - If you are in Burundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAFASI ZA KAZI TFF 1. The Secretary General 2. Technical Director 3. Finance and Administration Director 4. Membership and Legal Affairs Director 5. Director of competition 6. Commercial Manager...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Simba Mh. aden Rage amewarudisha Rasmi makocha Jamuhuli kiwelu julio(kocha msaidizi) na King Kibaden(kocha mkuu) kuendelea na kazi ya kuinoa simba katika mzunguko wa pili wa ligi kuu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau tunaomba maoni yenu kusaidia movie za kibongo naona kama wanatoka nje ya maadili ya kitanzania
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taifa Stars coach, Kim Poulsen had the good fortune of drawing the experience and expertise of his five foreign based players, Kazimoto, Ulimwengu, Samatta, Kapombeand Mapunda in the Tuesday draw...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom