KWA UWEKEZAJI HUU KATIKA SOKA YA VIJANA, LAZIMA SOKA YA TANZANIA IPIGE HATUA KUBWA...TUTAWAPIKU HADI NIGERIAJionee hapa KWA UWEKEZAJI HUU KATIKA SOKA YA VIJANA, LAZIMA SOKA YA TANZANIA IPIGE HATUA...
Home » Unlabelled » YANGA SC WAANZA MAZOEZI KIJITONYAMA LEO..KASEJA AJIUNGA NA WENZAKE RASMI
Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama, Dar es...
Akizungumza leo makao makuu ya club amesema kuwa TFF hawana mamlaka ya kuagiza kuitishwa mkutano wa simba kwa hiyo hakuna mkutano wowote utakaofanyika ndani ya hizo siku 14. Pia amesema ameivunja...
the blues ipo mbioni kuwauza mata, luizi, terry, ba, katika dirisha dogo la usajili huku wakitaka kuingiza nyota watano darajani akiwemo falcao. pia ashley cole kuna uwezekano mkubwa akaondoka...
...anasema kuna siku soka ya tz itapiga hatua lakn si kwa haraka kama watz wnavyotaka...........
Source; Tanzania Daima 24/11/2013 Uk 23
My Take
Je anapingana na BRN/Sera/Mkuu wa Nchi?
WATAALAMU wa hesabu wana usemi wao wanaoupenda 'Namba haziongopi'. Ukirudisha usemi huo kwenye tathimini ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lugha nyepesi unayoweza kusema ni kwamba...
Kocha wa Mbeya City amewapiga 'stop' wachezaji wake kunyoa nywele staili ya kiduku ili kuwajengea nidhamu. Hivi kumbe kunyoa kiduku ni utovu wa nidhamu? Mbona karibu wachezaji wote wa Yanga...
Wadau wa kabumbu naomba updates ya mwenyekiti wa Simba aliesema atakuwa na press conference leo kuzungumzia mustakabali wa nafasi yake ya uenyekiti, mwenye any news please, atupie.
mwenyekiti wa simba anatarajiwa kuwasili leo kutokea nje ya nchi, wanasimba wote wenye mapenzi mapema na timu yetu mnaombwa kuhudhuria ujio huu wa mwenyekiti, msafara wa kuelekea airport utaanzia...
wadau nikiangalia mwenendo wa uongozi uliopo na vurugu zinazotokea katika club yetu naweza sema kuna unafiki mkubwa na ulafi wa madaraka unaoendelea katika club yetu ya simba
Iweje aden rage...
Ndio ninachokiona kwa sasa CCM. Timu pinzani kupinga pale mahasimu wanapomfukuza kocha. Kuna walakini. Kocha huyu ni wa Simba. Arsenal tulipata ahueni Ferguson alipostaafu mbona hatukupinga.
AFC Leopards have been crowned champions of the Football Kenya Federation GOtv Shield after beating Gor Mahia 1-0 the final on Sunday at the Nyayo National Stadium.
Peter Opiyo scored the...
Naombeni mliopo karibu na vyanzo vya habari vya uhakika kama huyu kiongozi anayelazimisha kukubalika wakati hapendwi kama amefanikiwa kuingia katika ofisi za club ya Simba kariakoo na ilisemekana...
Na Mahmoud Zubeiry, Samora
SIMBA SC imesajili wachezaji wawili kwa mpigo leo hii, kiungo mchezeshaji Awadh Juma Issa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro na Ally Badru Ally kutoka Canal Suez ya Ligi...
BBC Sports(chanzo) King Carlo yupo kwenye movement kubwa na ya chinichini kuwashawishi makochwa wa club za ulaya ili kutafuta uungwaji mkono katika azimio lake la kuigomea Fifa endapo tu kama...
Julio na Kibadeni wameondolewa kazini baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi kwamba wawili hao utendaji wao si sahihi.
Tayari Simba imekamilisha mazungumzo na kocha...
Jana ktk kipindi cha michezo nilimsikia mzee kilomoni akishangazwa na uamuzi wa kamati ya utendaji kumsimamisha rage kwa madai kwamba hawakufuata katiba inavyosema,kwa bahati mbaya hata katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.