Yani nimeamini maisha bila unafiki hayaendi. Suala la kipa juma kaseja kuachwa na simba na baadae kusajiliwa na yanga limenidhihirishia namna tasnia ya soka ilivo na unafiki hasa wadau wake...
Oct 29, 2013 1:54:00 PM Gor Mahia will receive the 2013 Kenya Premier League trophy on Sunday at Moi International Sports Centre, Kasarani, after their match against KCB...
The restaurant is a market place of ideas, dreams and quick deals as thick clouds of cigarette smoke swirl around the dimly lit room.
Sodas are slowly sipped while alcohol flows freely and tongues...
Sijaridhika na adhabu walizopewa Mbeya City hasa mbili zilizohusisha vurugu toka kwa mashabiki. Mfano ile vurugu iliyoihusu mechi na Prisons, mashabiki kadhaa waliisha fungwa na mahakama sasa TFF...
Katika kujiandaa na bonanza la CECAFA nchini Kenya kocha wa timu yetu ya taifa alishauri mechi ya kirafiki na Harambee Stars ichezwe Arusha, lakini tunasikia mechi hiyo imehamishiwa Dar kwa kuwa...
Mtani jembe inaendelea kama kawa,watu wanazidi kuhamisha mipesa wenyewe wanasema unawaibia wapinzani.Mwanzoni mwa zoezi hili Simba walionekana kuiba pesa nyingi sana kutoka Yanga kwani mashabiki...
Eti kwa mnavyo ona na kufikiria ni timu gani ya tanzania na ulaya inayo ongoza kiwa na mashabiki wengi,hata kwa kuangalia uvaaji wa jezi ww unafikiri ni timu gani zina washabiki wengi.kwa upande...
mwenyekiti wa Simba leo akiongea kwenye kipindi cha michezo cha Radio 0ne amesema mchezaji Emmanuel Okwi alishasaini mkataba wa makubaliano na Etoile du sahel mara baada ya kufikisha miezi sita ya...
Wiki hii tff kupitia bodi ya ligi ilifungia viwanja kadhaa kwa sababu mbalimbali. Mojawapo ya uwanja huo ni wa arusha-sherk amri abed kwa sababu ya pichi.. Madoadoa yanaanzia pale tff hiyohiyo...
THE LIFE OF AN ARSENAL FAN FOR THE PAST 9 YEARS ....Lol. Who's to blame ???
MAY.
With Champions League football secured they
usually close the month of May with this
familiar sentence
ngojeni...
TFF leo wametoa taarifa ya kuvifungia baadhi ya viwanja ambavyo vimekuwa vikitumiwa na timu mbali mbali zikiwemo zile zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara.
Baadhi ya viwamja hivyo ni Sokoine...
Raisi Nkurunzinza wa Burundi ni mcheza mpira wa miguu mzuri mno.Kama kuna timu ingependa kumsajili kucheza naye msimsahau jamani.Video yake uwanjani hii hapa chini mumpime kamati za usajili...
Angetile Osiah
Siku chache baada ya Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka (TFF) aliyepewa likizo ya lazima, Angetile Osiah kulalamika juu ya kitendo alichofanyiwa na kamati mpya ya utendaji ya...
In iganga, a staunch Arsenal football fan is looking for a home for his family after he lost his house in a bet over a game between English clubs Arsenal and manchester united.
Before the game...
Jamani Dunia nzima inashangilia kwa ushindi dhidi ya Arsenal.hakika hakuna aliye kiwa ametalajia kama Man u itawajambisha Arsenal kiasi hicho.Duu Wenger kadata ni baraaaa.Arsenal hana historia ya...
Tujikumbushe kidogo.....
Tarehe kama ya leo 13 novemba 1991 katika uwanja wa taifa timu ya dar yanga africans waliingia uwanjani na basi la sharuksy, lililokuwa linamilikiwa na mfadhilli wao wa...
Mchezaji soka wa mabingwa wa Afrika wa timu ya Al Ahly ya nchini Misri, Ahmed Abdul Zaher ametupwa nje ya mechi za klabu hiyo baada ya kuonekana kumuunga mkono rais
aliyeondolewa madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.