Kocha muingereza stewart hall ametangaza kujiuzuru kufundisha klabu ya Azam fc baada ya kukubalina na wamiliki wa timu hiyo, stewart aliwaaga benchi la ufundi na wachezaji mara baada ya mechi na...
Rekodi ya DM kwa michezo yake 16 ya kwanza msimu huu.
Kapoteza 3
Katoa sare 3
Kashinda 10
Kikombe 1 = Ngao ya hisani.
Mourinho:
Mechi 16.
Kapoteza 3
Katoa sare 3
Kashinda 10...
leo kupitia kwa jamaa mmoja aliyekaribu na uongozi wa Azam Tv, Ni kuwa kuna mkakati wa kuingia udhamini mnono na Mbeya city hili kuisaidia hii timu kutimiza ndoto zake na hivyo kufikia malengo...
Leo ni burdani ya kufunga mzunguko wa kwanza.
Taifa kutakuwa na hitimisho kati ya Yanga v/s Jkt Oljoro saa 10:00 jioni.
Chamazi kutakuwa na wababe hawa wanaongoza ligi kati ya Azam v/s Mbeya...
MECHI ya jana tumezifunga Team nyingi sana aisee...
LIVERPOOL... Mashabiki wao ambao tumewaachia jeraha walidhani ni muda wetu wa kuaibika... CHALI!!
MANYUU: Kwa sababu weekend tunacheza nao...
Nimetoroka kazini kwasababu yao, na mpira waliopiga leo, Hawa jamaa wamenishawishi kuwa shabiki wao,Azam waliutafuta mpira kwa tochi. Natamani sana wanaojiita wakongwe wa soka(simba na yanga) wafe...
wadau kwangu hili mi linanishangaza, kama upo unaangalia mechi ya azam na mbeya city utashangaa kitu kimoja ukaribu wa rangi za jezi. hivi timu zetu huwa hazina mfumo wa jezi za ugenini na...
Simba imepigwa faini ya milioni 25 kwa kuvunja viti vya uwanja wa taifa ambayo inatakiwa kulipwa kabla ya mechi ya kesho na ashanti la sivyo hawatoruhusiwa kuingiza taifa uwanjani,Daaah Malinzi...
Juve wamekuja kujiuliza hapa kwao, baada ya kulambwa goli 2-1 hukoo El Santiago Bernabeu.
Kwa harakaharaka tuanze na kikosi cha Juve.
Golikipa ni Gigi Buffon, ukuta umewakusanya Caceres...
Wekundu wa msimbazi Simba leo saa kumi kamili jioni wanashuka uwanja wa taifa kakabiliana na watoto wa jiji Ashanti united katika mchezo wa kukamilisha ratiba ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu...
wadau ivi ni baadhi ya viwanja vyenye majina ya kuvutia duniani
Estadio do Maracana - Brazil
Santiago Bernabeu - Real madrid
Guiseppe Meazza(San Siro) - Inter and AC millan
Estadio do Dragao -...
Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika...
Naam bwana!ni pale pembeni ya milima ya Alps kwenye jiji la Turin.Yaani yangeyange katafunwa hadi manyoya yamekuwa mekundu!si mnakumbuka ule wimbo wa "yange yange nipe kucha nyeupe!"sasa leo wale...
Naam bwana!ni pale pembeni ya milima ya Alps kwenye jiji la Turin.Yaani yangeyange katafunwa hadi manyoya yamekuwa mekundu!si mnakumbuka ule wimbo wa "yange yange nipe kucha nyeupe!"sasa leo wale...
Napenda kuchukua fursa hii kutoa ya kwangu na kuweza kuelimishwa vizuri juu ya kibadeni kupeleka wachezaji kwa matola ingali yeye ndio kocha mkuu anataka kufundishiwa na mwingine?
Na ili la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.