Baada ya matokeo haya hakika nikiwa kipenzi wa Liverpool Football Club hakika matokeo haya yamenirejeshea matumaini ya kwamba Liverpool FC waweza wakawa BINGWA msimu huu. Maoni kwa member hawa ni...
Ckupata bahati ya kuangalia mechi ya juzi baina ya Real Betis ambapo Barca waliibuka kidedea kama kawaida yao.......mabao ya Barca ilifungwa na Neymar dk 35,Pedro dk 37,Cesc Fabregas dk 63,79 na...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPL Board) imefungia viwanja saba vilivyokuwa vikitumiwa na timu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) hadi vitakapofanyiwa marekebisho ili kukidhi...
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini timu za Taifa za vijana za Afrika zinafanya vizuri sana katika mashindano ya kimataifa [rejea Nigeria bingwa wa kombe la dunia U17, hii ni mara ya nne wakiwa...
Nimesikitishwa sana na makala iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwanaspoti la leo jmosi tarehe 9 Nov 2013 katika ukurasa wake wa 17.Makala hiyo ina kichwa cha habari kinachoelezea jinsi Gervinho...
Fainali ya pili ya Klabu Bingwa Afrika inachezwa leo mjini Cairo.
Mabingwa watetezi, Al Ahly
wanaikabili Orlando Pirates huku
wakiwa na matokeo mazuri kwa
sare ya ugenini waliyoipata wiki...
habari wana jf na wale arsenal wenzangu poleni tumefungwa ila tumecheza mpira mzuri sana. yaani tangu ilipoisha game ya jana sina raha kwa mashabiki wa man u. hata kazi hazifanyiki vizuri. dah...
I'm happy,i'm sure,i'm confident,i'm proud and peaceful,I AM A JUVENTINO Mourinho Gang Chomba bologna Viper myao wa tunduru Chimunguru n.k mmetoka nduki na kuniacha peke yangu jukwaani lakini mie...
Sina uwezo mkubwa sana ila nitatoa zawadi ya muda wa hewani wa Tsh 5000 kwa atakayetabiri kwa usahihi kabisa matokeo ya mechi ya leo kati ya ARSENAL NA MAN UTD
1.TAJA IDADI YA MAGOLI YA TIMU...
Nimefuatilia kwa makini mzunguko wa kwanza ligi kuu ya Tanzania bara na hiki ndicho kwa mtazamo wangu.
Kuna tofauti kubwa kati ya Simba na yanga, kwanza pamoja na matokeo Yanga wamekuwa wakicheza...
Uongozi wa klabu ya Young Africans umekanusha taarufa zilizozagaa leo mchana kwamba wapo kwenye maongezi na aliyekua kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall aje kuifundisha timu ya Yanga.
Taarifa hizo...
hivi ss watanzanzia 2nataka kusema kweli michezo 2naijua lakin karate hatuijui. Maana juzi 2 kulikua na mashindano ya karate kwa vyuo vikuu kutoka nchi tofauti na yamefanyika mliman lakn hakuna...
Hall leaves Azam and alleges Tanzanian league is fixedEngland-born coach Stuart John Hall has parted company with Azam FC and alleged the Tanzanian league is rigged in favour of the country's two...
Ninakuwa na furaha sana ninapotembelea jukwaa la sports katika jamii forum,michezo ni furaha,michezo ni bururadi,michezo hujenga urafiki.
Binafsi michezo imenipa kufahamiana na watu wengi sana...
Kasseja na Ngassa ni watu ambao mapenzi yao kwa Club za Kkoo,yako wazi.Ngassa pamoja na kucheza Simba,inasadikika anaipenda sana Yanga hali kadhalika,Kasseja kuja yanga bado ataendelea kuipenda...
pamoja na lengo zuri walilonalo bado mwanaspoti wameonyesha mapungufu makubwa sana katika utoaji wa tuzo zao, haya ni baadhi ya mapungufu
1. mpaka sasa hakuna vigezo maalumu vilivyotumika kumpa...
Wachezaji wa tanzanite wakishangilia mabao yao
10, 5=15,
TANZANITE YAKUFURU:Timu ya soka ya Taifa ya wanawake U-20 leo imeifurusha Msumbiji mabao 5, yasonga mbele kusaka tiketi ya...
Kenyan MPs at The Hague have found a new way to beat the cold and boring winter in the European city.
The MPs have decided to turn one of the bars called De Zeeheld in Hagues city centre into...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.