Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi katoa mpya leo kwa kutojua jina la nchi iliyocheza na Stars jana. Baada ya kwisha kwa mchezo Malinzi alitoa matokeo ya mechi hiyo ktk...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wachezaji wanaounda kikosi hicho cha Tanzania Bara ni makipa Deogratius Munishi (Yanga), Ivo Mapunda (Gor Mahia, Kenya) na Aishi Manula (Azam). Mabeki ni Erasto Nyoni (Azam), Himid Mao (Azam)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtu huyu Aden Rage Wacha nimwongezee dulu Bwana Baraka Mbolembole katika makala yake ambayo nimeisoma kupitia blog ya Shafihi Dauda kuhusu mtu huyu Rage na mikakati yake inayoshindwa. Aden...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepita mitaa ya msimbazi na kukuta makundi makubwa ya wapenzi na wanachama wa Simba wakirusha maneno ya shutuma dhidi ya viongozi waliofanya mapinduzi. Kilichonishitua zaidi ni pale walipokuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Self-imposed chairman, Joseph Kinesi reveals that the ex-Gor Mahia tactician is expected in Tanzania on December 1 to sign a long term contract Former Gor Mahia coach Zdravko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAIROBI, KENYA: Indeed it was a great achievement for Gor Mahia FC to win the 2013 Kenyan Premier League title after 18 years. Since they were declared champions few weeks ago, Gor Mahia have...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Baada ya kudengua kupokea mkwanja toka azam tv na tff kuwakaushia,hatimaye katibu wa yanga mwalusako ameenda bodi ya ligi kuomba hela ya udhamini. Bodi ya ligi imewaambia waandike barua ili wapewe...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Mechi inaanza saa 11. Nh chanel gani itaonesha?
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Wanajamvi tumejadili sana soka humu jamvini, weng mnachangia vzuri na kwa facts. Ila mimi binafsi namkubali mchangia mada anayeitwa TCleverly, jamaa anaandikaga michango yenye tija sana humu...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
New Messi: Watch the eight-year-old wonderkid nicknamed 'Snow Messi' that Chelsea and Manchester United are chasing - Mirror Online
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Taarifa zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden Rage kuongoza timu hiyo. Kuhusiana na sababu...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Wana michezo! Naomba kufahamishwa ratiba ya hizi mechi kwa muda wa kwetu Tanzania. 1. Burkina Faso vs Algeria 2. Ghana vs Egypt 3. Portugal vs Sweden. Nkuu Sinde, Nduguyenu.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Watani zetu Simba...... hivi huyu kada wa CCM Aden Rage amewalisha nini? The guy has been repeatedly goofing affairs in your club, and with impunity, lakini naona mnamwangalia tu. Embu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Group A Kenya Ethiopia Zanzibar South Sudan Group B Tanzania Zambia Burundi Somalia Group C Uganda Rwanda Sudan Eritrea Michuano kuanza tarehe 27, mechi ya ufunguzi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, tafadhali naomba msaada wenu , mimi ni mnazi mkubwa wa clabu ya simba na Man united, nataka kununua Jezi zao ila sijui duka gani naweza kwenda kununua latest jezi za hizi clubs...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Huyu jamaa kafunga magoli mazuri sana , umeonyesha namna ambavyo mfungaji anapaswa kuwa , usiishie hapo ongeza bidii mpira wa tz haulipi kiivyo ongeza bidii angalia mbele!
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Kocha wa timu ya taifa stars Kim Poulsen ameteua wachezaji 32 kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya na atachuja wachezaji hao kupaki nao 20 watakaoenda kucheza michuano ya CECAFA nchini...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Young Africans Sports Club almaraafu kama Yanga imefanikiwa kumsaninisha mkataba wa miaka mitatu kiungo Hassan Saleh Dilunga kutoka timu ya Ruvu Shooting ambapo mchezaji huyo ataanza kuitumikia...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wana JF mimi binafsi naona ujenzi wa Uwanja wa Uhuru ambao bado unaendelea mpaka sasa japo kwa taratibu si wamuhimu sana. Kiukweli huwezi boresha viwanja viwili ambavyo vimepakana hapa nazungumzia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom