Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Hivi Man u inaponti ngapi?na niya ngapi ktk mtililiko baada ya kuua mtu jana goli 4-0.anaye jua please
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Yanga wanaliwa, simba wanagongwa, azam wanalambishwa koni. Mbeya city hatari
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TUMEWAONA na kuwasikia wanasiasa wengi wakishangiliwa kwa nguvu huku wakibebwa mabegani na wananchi wenye matarajio makubwa ya kukombolewa na wanasiasa hao mara baada ya kushinda uchaguzi. Aidha...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Mimi ni mshabiki wa timu ya R.Madrid.Nilishtushwa sana na usajili wa G.Bale ulivopewa kipaumbele na gharama ya ajabu na hata akatua Madrid.Tangu aanze kuichezea timu hiyo nimekuwa nikifuatilia kwa...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Huyu ni staa wa mpira aitwaye Zlatan Ibrahimovic akiwa katika wakati mgumu baada ya mzigo wake kuvimba akiwa uwanjani… Taarifa zinaarifu kuwa, mzigo huo ulivimba baada ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
panapo majaliwa kesho nitakuwepo ndani ya sokoine stadium kushuhudia mtanange wa kukata na shoka kati ya Mbeya city (watoto wa jiji) na Tanzania Prison (wajela jela). Kiufupi leo kutwa nzima...
1 Reactions
145 Replies
11K Views
Hata nikikaa naitazama Mbeya city Mhh nooma hii timu inanitushia moyo na presha Yaani Leo kashinda dhidi ya prisons!!?? Haya Karibu vpl...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ballon d'Or shortlist: Gareth Bale (Real Madrid/Wales), Edinson Cavani (Paris St-Germain/Uruguay), Radamel Falcao (Monaco/Colombia), Eden Hazard (Chelsea/Belgium), Zlatan Ibrahimovic (Paris...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wakuu hua tuna bishana sana kuhusu ni ligi gani iko juu ndani ya sayari hii hususan katika miaka hii ya 2010-2013 na ujuu wake sijui niseme kwa thamani au washabiki ila wenye kujua watakuja...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
cheic piga hao vifarang wa wengar mana atunyu maji skuizi.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
MGOMBEA nafasi ya urais wa Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani amejinadi kusimamia na kutekeleza programu ya muda mfupi na mrefu ya shirikisho hilo na kuwa hawanii nafasi...
0 Reactions
148 Replies
12K Views
Ule uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na wansoka wa Tanzania,uchaguzi uliojaa vibweka,vituko,fitina,majungu,ubabaishaji hatimaye umekamilika na viongozi wapya watakaoongoza jahazi hili la...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa wale mliopo nje ya mkoa wa mbeya njooni mapema , huu hautakuwa kama ujinga wa yanga leo , mtapata burudani kulingana na kiingilio chenu ! Nawambia kabisa muingie mbeya kabla ya ijumaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya pilika pilika za uchaguzi sasa tunarudi uwanjani. Vinara wa ligi kuu Tanzania bara wekundu wa msimbazi Simba wanashuka uwanja wa taifa kupambana na Azam Fc leo jumatatu saa kumi jioni...
4 Reactions
339 Replies
22K Views
NIONAVYO MIMI WENGER NA MOURINHO WOTE WAONGO! Ukiwasikiliza utasikia "Leo nitachezesha kikosi ambacho sio imara" Mourinho leo piga ua Juan Mata,Mikel Obi,David Luiz lazima waanze.Wenger leo piga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kim amtema Kaseja, amuita Ivo Mapunda: KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 30 wa timu ya pili (Future Young Taifa Stars) kitakachoingia kambini Novemba 9 mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lengo letu ni kuona soka letu linasonga mbele likipimwa kwa mafanikio ya wachezaji, vilabu na timu ya Taifa. Tenga wa TFF alikuwa mtu wa mpira na Ndolanga wa FAT hakuwa mwanafamilia wa mchezo huo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF hasa katika jukwaa hili. Kweli kama unapenda kitu ni vigumu sana kujizuia. Katika mechi ya Simba na Yanga kiukweli nilipata kusikiliza kupitia radio station anayo tangaza Kitenge...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Nilikuwa nimesahau kuwapa POLE jamaa zangu wa Real Madrid kwa kichapo cha jana cha kufungwa goli mbili kwa moja. POLENI SANA jamani tutakutana tena siku zijazo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pamoja na pongezi nyingi ulizopata wewe binafsi na viongozi wenzako, mie ombi langu ni kuwa muda wa kuanza mechi kwenye uwanja wa Taifa inabidi ubadilike. Tumezowea mechi kuchezwa kuanzia saa kumi...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Back
Top Bottom