Sir Alex Ferguson did not hold back in his autobiography when it came to Roy Keane, who was probably Fergie's top lieutenant during his tenure at Manchester United.
He calls him, among other...
Kama hukuangalia mechi ya schalke 04 vs chelsea na ulipoamka ukaambiwa,walishinda 3-0 unaweza ukawachukulia pouwa schalke! Schalke walipiga mpira mwingi sana.
Ukiona Mourinho anamtoa...
Kama kuna siku nisiyoisahau ni mechi ya simba na yanga
infact najua ni maisha ya kina tenga na wazazi wanategemea pesa zile kwa ajili ya maisha yao ya baadae nafikiri kwa hili wamejisahau zaidi...
Sir Alex Ferguson book: David Beckham had to leave Man Utd
Sir Alex Ferguson says David Beckham had to leave Manchester United because the former England captain thought he was "bigger than the...
Binafsi mi sioni tatizo kutoa draw ki mchezo ni bora draw kuliko kufungwa (bora nusu shali kuliko shali kamili).
Ila kama shabiki wa Yanga na niliyeshuhudia mechi nzima kwa kweli wachezaji wa...
Baada ya kuiangalia mechi ya yanga jana ambayo imeishia sare ya3-3, nimefarijika sana kuona timu ya tanzania inaweza onyesha kiwango cha juu vile,. Japo kuna makosa madogo yaliyojitokeza...
Hamjambo wanajamvi.
Matokeo ya jana Kiboko;
Ni kama Binti kukimbia na shela Ukumbuni;
Kurudi kwa wazazi wake.
Hii inaweza kuwa ni uzembe wa Mwanaume aliyetaka kuoa
Au ni ushujaa wa BInti kuweza...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema atafanya kila aliwezalo kuhakikisha mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, anashinda nafasi hiyo.
Uchaguzi Mkuu wa TFF...
Kuna taarifa zimezagaa sana huku mitaani kuwa akina mama wengi sana walikabwa na kuibiwa nje ya uwanja wa taifa hasa wakati wa kuondoka uwanjani baada ya mechi ya Simba na Yanga kuisha.Inasemekana...
Kibadeni afichua hujuma Simba,
Brandts ashangaa
_________________________________________________
KOCHA wa Simba Abdallah Kibadeni amelaumu
kuwa kuna hujuma imefanyika kwa wachezaji
wake...
Kwa kikosi kile cha wana msimbazi ukilinganisha na mziki wa CD 10000 wa watoto wa mtaa wa twiga aka Jangwani ni sawa tu ya kupambanisha John cena na Francis cheka lazima akae
Yani mechi ya tar 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.