Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
KIKOSI CHA KILI STARS ANAPENDEKEZA KIWE HIVI. kocha mkuu: Abdalah kibadeni msaidizi : Juma mwambusi na charles mkwasa I.Makipa ni Hamis Seif (JKT Ruvu), Abdul Juma (Ruvu Shooting) na Hussen...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
In kenya, we have a very diverse list for genres of music.Ranging from Rap to Hiphop even extending to RnB. In Tz I have only heard of one gwenre--Bongo. What is a contributing factor to this?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakuwahi kupata kadi, nyekundu wala ya njano. Na bado alipiga mabao kibao. Balotelli anapaswa kufundwa naye. Ni nani huyo?
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Jamani Simba wamekuja na staili mpya yaani ukivurunda tu mechi moja unapelekwa timu B SIELEWI SANA MAANA YA FALSAFA HII, ilianzia mwaka jana wakati wa Juma Nyosso na naona Kibadeni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukiwa ndio uwanja mkubwa zaidi wa soccer barani Ulaya, wenye uwezo wa kuchukua watu 99,354, leo hii kwenye majira ya saa 19:00 (EAT) uwanja wa Camp Nou utageuka uwanja wa mapambano kati ya...
3 Reactions
140 Replies
18K Views
NIONAVYO MIMI KUFUATIA SIMBA VS YANGA 3-3 Mechi ilikuwa nzuri kiasi kwa sababu,raha ya soka ni magoli na magoli tumeyaoga! Kiiza 2 na Ngassa 1 kwa upande wa YANGA,huku Kaze,Mombeki na Owimo...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
tarehe 27/10/2013 itakuwa ndio siku ya uchaguzi mkuu wa TFF, Tunawahasa tena wajumbe wa TFF kuwa chaguo la Watanzania katika nafasi ya uraisi ni ndugu Jamal Malinzi!! wasije wakatumika hovyo na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukiwa kocha lazima uchanganyikiwe! Umpange Flamini, Wilshere au Gnabry? Umuache Carzola au Ramsey ama umpumzishe Mediapunta? Hapo bado The Ox na Walcott hawajarudi! Halafu kuna mzee mzima...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ya watani wa jadi Simba na Yanga iliyochezwa jana (Oktoba 20 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa sare ya mabao 3-3 imeingiza...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
tujadili kidogo soka la majuu leo hispania ni el clasico kule ni messi na neymar na huku ni ronaldo na bale japo bado hajarudi kwenye kiwango chake cha spurs, tutarajie matokeo gani hapa, nani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
There was and still is only one Pelé – and we should not forget it Brazil's greatest footballer celebrated his 73rd birthday this week, but in a world where mini-Pelés are minted every year there...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
  • Closed
Wapendwa wana jamii forums, Siku ya Jumapili tarehe 27/10/2013 ni siku ya uchaguzi mkuu wa TFF na mimi ni mgombea wa kiti cha urais wa TFF. Kwa muda wa dakika tisini kuanzia sasa hivi nitakuwa...
31 Reactions
142 Replies
12K Views
toa maoni yako kwa kuandika neno moja. Lady J d ye amesema P square
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati mwingine tuwe wakweli bwana!we unaona tairi imepasuka unajidanganya gari itaendelea na safari!ni hivi,mimi kama shabiki mkubwa wa Juve tangu 1992,I and I this old see upfully that huu ni...
0 Reactions
117 Replies
5K Views
ni katika mechi ya tatu kwa kila timu msimu huu. Madrid anakwenda pambana na mbabe wake hapa nawazungumzia vijukuu na vitukuu vya Bibi Kizee wa Torino Bibi Lavecchia Signora. Mara kadhaa Madrid...
2 Reactions
124 Replies
8K Views
Nauliza tu, naomba jibu letu wana michezo wapenzi wa Tanzania na Taifa stars
0 Reactions
4 Replies
1K Views
It is REALLY hard to win away from home in Nigeria. Here's the league table — pay special attention to the away wins column.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni baada ya kurudisha goli zote tatu wamefanikiwa kuvunja rekodi hiyo kama liverpool walivyocheza na ac milan
3 Reactions
84 Replies
8K Views
Leo mbona kimya sana sioni bandiko la live updates za mechi ya Yanga na Rhino-Taifa na Coaster na Simba-Mkwakwani au bado mna uchovu wa jumapili....wapi MENDIETA,MAKOYE,WABHEJASANA na wengine au...
0 Reactions
171 Replies
15K Views
Back
Top Bottom