ATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA Home » Unlabelled » WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA...
Ticket uwanja WA Taifa ni tatizo lisilo na mfano,Nilishindwa kununua. mapema jana so nikaenda mapema kwa lengo la kupata ticket lakini nimeshindwa kabisa kwan kwenye gari ni kuanzia 20,000/ na...
Kama ndugu yangu wa karibu
lazima tuambizane ni wakati wa kujilinda kwa kila jambo..yapo yanaoendelea kuongelewa kuhusu mechi ya kesho ikiwemo utata wa kuwepo na hujuma kadhaa za...
Ndugu zangu mashabiki wa mpira wa miguu ni fahari iliyoje kwa tv ya kwanza kabisa nchini kwa kujizatiti kurusha mpira wa ligi kuu vodacom tanzania, kwa mara ya pili sasa nimekuwa nikishuhudia...
Hoffenheim demand replay after Leverkusen's 'ghost goal'
Hoffenheim are set to protest against a freak goal awarded to Bayer Leverkusen when Stefan Kiessling headed the ball through a hole in...
Weekend hii ilikua na vituko sana katika
sport watu wamevunja record za ajabu na
watu wametoa kali za ajabu hebu angalia
Steven Geral juzi alitimiza goli la 100 ndani
ya EPL lakin hajawahi...
mechi ya simba na yanga ni kama vile mwindaji (yanga)alikuwa kamkamata kanga au swala porini kitoweo saafi ghafla kaponyoka amemwachia mwindaji manyoya mkononi.huku akimeza mate.duh
......Pamoja na sare ya kishujaa ya Simba sports Club kurudisha magoli matatu katika mechi dhidi ya Yanga kuna kauli ya Kocha Kibadeni kwamba kuna hujuma ya wazi wazi inayofanywa na wajinga...
Lango moja la Goli Limeingiza Jumla ya Mabao 8, wakati Upande ungine Wa Lango La Goli HALIJAINGIA hata Goli Moja...
Ambapo Magoli Hayo Ni YANGA 3 na SIMBA 3 Na Timu 'B' za Vijana wa club hzo...
aisee jinsi gemu ya jana ilivyo chezwa niliipenda kwa haya mabepali yetu mawili (simba vs yanga)
ila kinishangazacho wakuu hawa jamaa nyumbani huwa wanakamiana kishenzi yaani mpaka...
Kiukweli AzamTv wamejitahidi angalau, ukilinganisha na Tv zingine hapa tz.
Kwa upande wangu hawa jamaa wamethubutu hasa katika kuchukua picha uwanjani, picture mixing, uwekaji wa sijui niite...
Wakuu kuna mechi inaendelea na hii ni dakika ya 4 Brazil na United Arabic Emirates,
Sijui wanagombea nini maana inarushwa na TV M*Msumbiji Hivyo lugha inayotumika
ni kireno, machache huwa naelewa...
Ndio, kama garasa tambwe akiifunga yanga kesho nipewe ban.
kila goli moja la tambwe atalofunga, kwangu ni ban ya wiki moja, kama garasa tambwe atafunga goli mbili, nipewe ban ya wiki mbili...
Hayo ni matokeo ya awali
mpka usiku wa leo yanasomeka hivyo zimebaki dk 2 kupata matokeo kamili
magoli ya yanga yatafungwa
1.mrisho ngasaa dk ya 8
2.hamis kiiza dk ya 42
3.dk ya 67 na...
Simba na Yanga zinakutana kesho katika pambano la watani wa jadi la msimu wa 50 wa ligi ya hadhi ya juu zaidi ya Bara, huku mazingira ya kisoka ndani ya timu hizo mbili yakiwapa mabingwa watetezi...
Ikiwa inaendelea kufanya vizuri, timu ngrni kwenye ligi ya tanzania mbeya city leo inawakalibisha jkt ruvu kwenye uwanja wake wake wa nyumbani wa sokoine mbeya,. Karibu wote wapenda kandanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.