Mabingwa wa kusakata kandanda ukanda mzima wa Africa Mashariki Dar Young Africans almaaruf kama Yanga hivi sasa wapo Kigali kuitikia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Paul Kagame.
Habari...
*Ubinafsi wa viongozi kikwazo cha kukuza michezo
*Watoto wenye vipaji waishia kwenye ulevi na ngono
Michezo ya 30 ya Olimpiki imeanza kutimua vumbi jijini London, ikikusanya vipaji vya aina...
Kapchorwa, found in Eastern Uganda at the base of Mt. Elgon, is not endowed with that many nationally recognized natural or historical attractions. But the whole place called Kapchorwa district is...
Michezo ya Kimataifa kama Olimpic na mingineyo huwa inabeba Utaifa na ni njia mojawapo ya kulitangaza taifa pia kulijengea heshima. Katika michezo iliyopita ya London, jirani zetu Kenya...
Hii ni kauli atakayorudi nayo jk akirudi kutoka kwenye mazishi ya Zenawi. Watanzania tu watu wa ajabu sana, tunaweza hata kugombania samadi na kuacha dhahabu!! Nahisi hata Mungu hajishughulishi...
Jamani mbona Yanga wanatuonea hivi? Jamaa wanataka sifa sana. Yaani pamoja na fedha zao, kila siku Yanga wanaona waishi kwa mgongo wetu sisi simba na mbaya zaidi viongozi wetu hawatoi maelezo ya...
1. South Africa (hawa tuliwapigania kupata uhuru wa kweli)
2. Ethiopia (hawa wana laana ya kumpindua mfalme selasie jah)
3. Kenya (Nyerere aliwaita Nyang'au)
4. Tunisia (walitibuana juzujuzi)
5...
Kenya's capital Nairobi is planning to bid for the 2024 Olympics and become the first African city to host the Games, the prime minister said on Wednesday."Kenyan Prime Minister Raila Odinga...
To hear and read Kenyan sports commentators you might think, if you are Tanzanian, that they are making fun of you and your countrys performance at the recently concluded London Olympics...
AFC-Yanga friendly canceled AFC trip to Tanzania canceled.
(Photo: Rodgers Eshitemi/Futaa.com)
AFC Leopards friendly match with Tanzanian Premier League giants Yanga FC, scheduled...
jamani hebu tuongee kuhusu hawa viongezi wetu wa kitanzania, vijana wa simba leo wameikung'uta mtibwa sugar 4_ 0,huku wakiinyesha soka la hali ya juu! Hivi kuna ulazima wa viongoz kama hawa...
Kuna habari kwamba Waziri Mkuu aliyejiuzuru nafasi hiyo kutokana na kashfa ya mkataba tata wa Richmond, Edward Lowasa anajiandaa kuwekeza katika klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti wa klabu hiyo...
Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe (kulia) akizungumza na baadhi ya wadau wa Michezo aliowaalika ubalozini hapo wakati wa kuiga timu ya Tanzania ya Olimpiki.
Msosi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.