Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Vijana Simba wapigwa danadana zawadi zao
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeudhishwa sana na kitendo cha kitapeli na kisichokuwa cha kiuanamichezo kilichofanywa na mchezaji MBUYU TWITE wa APR ya Rwanda. Mchezaji huyu alisajiliwa na Simba SC kutoka APR, lakini katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakyanani tutaua mtu mwaka huu.Lazima tuunde mid-field moja ya hatari saana.Tumemtwaa kwa €42million,atavaa jezi namba 19 na tumempa mkataba wa miaka mitano(5).karibu sana jembe Modric.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni kuwekuwepo hoja kuwa jina la timu yetu ya Taifa libadilishwe, hii inatokana na wadau wengi wa michezo kuhoji kwanini tusiwe na jina linaloakisi baadhi ya rasilimali zetu au...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakata Mrisho Kikwete amewapa mwaliko mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati mara mbili mfululizo, Yanga SC kupeleka Kombe lao Ikulu. Mwenyekiti wa klabu ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajamii tafadhali naomba kujua sehemu ambayo kuna gym nzuri kuanzia maeneo ya Ubungo na KIMARA na malipo ni kiasi gani kwa mwezi au kwa siku. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wednesday, 22 August 2012 12:33 Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub (kulia) akiwa na Kombe la Kagame mkononi pamoja na Shadrack Nsajigwa wakiingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mo Farah becomes father to twin girlsDouble gold medal winner's wife, Tania, gives birth just under two weeks after Farah won his second Olympic title...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Yampiga Rayon sport kwao bao 2:0. Wafungaji. Hamisi Kiiza aka Diego! Saimoni Msuva aka Neymar!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
YANGA WAWEKA MASHADA YA MAUA KWENYE MAKABURI YA MAUAJI YA KIMBARI YA 1994-RWANDA Mwenyekiti wa timu ya Yanga, Yusuph Manji (kulia) Mama Karume (katikati) na baadhi ya viongozi wa timu hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Dirk Nowitzki marries his Kenyan native wife--in Kenya NBA Star Dirt Nowitzki of the Dallas Mavericks and Jessica Olsson were married over the weekend in Kenya, Africa. Jessica is born of a...
5 Reactions
22 Replies
8K Views
Introducing Nairobi born, man-mountain and professional rugby player Daniel Adongo Bio: Physical: 1.97m, 112kg Born: 12.10.1989, Nairobi, Kenya
4 Reactions
39 Replies
16K Views
Hii ni kali nyingine ya Viongozi wa Simba. Wakati dirisha la usajili likifungwa juzi,imethibitika kuna majina yame'appear kwenye team zaidi ya moja,1 wapo ya majina hayo ni la Kelvin Yondani...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Huyu ni kiongozi makini na anayejua kukumbuka asili yake ya upenzi wa soka. Hajali lawama za watu hasa pale alifanyalo linamfurahisha mwenyewe na wananchi aliokuwa anawaongoza kabla ya kumuiga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
BLock lesnar DEFEAT Triple H. Cm punk DEFEAT John Cena and Big show for wwe champion .Sheamus DETEAT Alberto delio.The miz DEFEAT Rey my sterio. Antonin DEFEAT Santino molera .Chirs Jericho DEFEAT...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilifikiria kuwa Mzee wa Bastola ana matatizo ya kuwadanganya wadau(wapenzi na wanachama) wa Simba tu, kumbe hata kwenye nyanja nyingine,My GOD.... Kauli yake ya kuwaambia Uma wa wapiga kura wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
jaman the cop hii game itaonyeshwa na chanel gan? Sabab ile nyingine ya uropa ligi niliitafuta sana lakin sikufanikiwa kuiona live
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Mwenyekiti wa yanga fc amesema wanaelekea Rwanda kuitikia mwaliko wa Rais wa Rwanda Paul kagame,na amesema wakiwa huko wataweka kambi ikiwa pamoja na kufungua Tawi la yanga nchini Rwanda kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SAT 25 AUG 2012 - PREMIER LEAGUE SwanseavWest Ham12:45 Aston VillavEverton15:00 Man UtdvFulham15:00 NorwichvQPR15:00 SouthamptonvWigan15:00 SunderlandvReading15:00 TottenhamvWest Brom15:00...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
karibuni ............................................................
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom