Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Jambo moja muhimu ambalo linalalamikiwa na watu muda mrefu wabunge kupewa nyadhifa nyingine serikalini na hivyo kutokuwa karibu na wananchi ili kusaidia kuihimiza serikali kuleta maendeleo kwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Carli Lloyd kisses her gold medal after scoring both USA goals in a 2-1 win over Japan in the final of the London 2012 Olympic women's football competition. Olympic Winners: Do They Deserve Tax...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
http://www.eastafricaherald.com/2012/08/africas-richest-football-players.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FIXTURES Sat. 14th July 1 APR vs WAU SALAAM Uwanja wa Taifa 2pm 2 YANGA vs ATLETICO Uwanja wa Taifa 4pm Sun. 15th July 3 AZAM vs MAFUNZO Chamazi 4pm 4 SIMBA vs URA Uwanja...
8 Reactions
2K Replies
133K Views
Mkamia: Ngoja na mimi nipate kumbukumbu na Watani zangu na kombe la maana hapa,ile team yetu inaletaga vibao tu huku. Makala: Kumbukumbu na Kombe kubwa muhimu bwana,aisee mpiga picha usije...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu tuuite mwaka wa shetani kwa Simba ama tutumie lugha gani kuuelezea? Team ya soka ya Simba leo imewasononesha tena mashabiki wake baada ya kukubali kichapo cha bao 3-1 kutoka kwa team ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ngasa anadaiwa ni mnazi wa yanga na hiyo ndiyo sababu ya kutimuliwa pale Azam. Je ataweza kuhimili mikiki ya mashabiki wa msimbazi iwapo watapigwa bao na wana jangwa naye mchezo ukawa umemkataa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://www.london2012.com/medals/medal-count/ http://www.youtube.com/watch?v=YN6opAl5ZRg
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The hospitality centre for African nations competing in the Olympics has had to close because of unpaid debts, a spokesman has confirmed. Africa Village, set up in Kensington Gardens, west London...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Not content with sprinting into Olympic history by winning 100 metres gold in 9.63 seconds at London 2012, the Jamaican hero wants to get a chance with his favourite club Sprinting icon Usain...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yussuf Mehoob Manji (Mwenyekiti), Clement Sanga (Makamu Mwenyekiti) na Wajumbe Mussa Katabaro, Lameck Nyambaya, Abdallah Bin Kleb na George Manyama. Rais wa Yanga Rais wa Yanga...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Wakati uingereza ikishika nafasi ya nne kwenye viwango vya soka duniani, Brazili haipo kwenye top ten Swali la kujiuliza: hivi viwango hivi vinapatikanaje, huku tukijua taasisi hii imekumbwa na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda huu wa mchakato wa katiba mpya wananchi tuitake katiba yetu itamke kuwa yenyewe na makampuni makubwa yatadhamini kujenga na kuendeleza michezo mbalimbali ili taifa letu lisiendelee kuwa...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Ukiangalia mfumo wa Prof Milovan anatumia sana wings ktk kushambulia.. Wings zenye kasi n that's 1 reason kwa mfumo ule Okwi alishine sana kwakuwa yeye ndo mipango yote ya timu ilikuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bahati mbaya inazidi kutuandama wana msimbazi leo kwa bahati mbaya au ni mkosi wa kula rambirambi ya mafisango,. Leo tena mnyama kachinjwa bila huruma na wakenya alipokua akisherekea kile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukichukua medali ya dhahabu unakamata kama ifuatavyo Singapore - $800,000 Kazakhstan - $250,000 Kyrgyzstan - $200,000 Uzbekistan - $150,000 Russia - $135,000 Tajikistan -...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Najua wahisi pdidy kachanganyiki wa la hasha nilijua siasa ni mbaya sana lakini nahisi leo nimejua ushabiki ni anasa kubwa duniani pale wanaume wasipokuwa na haya wakimkaribisha uwanja wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo kunahabari za kuaminika na kuenea katika vyombo vya habari na kudhibitishwa na yeye redondo ni kusajiliwa kwake na timu ya simba akitokea azam. Redondo anadaiwa kubakiwa mwaka1 na mkataba...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nimesoma nakala iliyoandikwa na Eddo katika gazeti la mwanaspoti, inazungumzia ukosefu wa ubunifu katika kuitangaza nchi yetu nje ya mipaka yake na vivutio vyake, nimemuunga mkono kabisa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri Mkuu, Mh Pinda kushoto, akiwa na Mama Fatuma Karume kulia. Katikati ni Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' nje ya ukumbi wa Bunge, Dodoma leo. Na Mahmoud Zubeiry, Dodoma MABINGWA...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom