Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wanamichezo saba wa Cameroon walioenda London kwenye Olympic wameingia mitini kwa sababu za kiuchumi [ wamezamia]. BBC News - London Olympics: Cameroon athletes 'abscond'
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, mara nyingi spika ama wenyeviti wabunge hulalamika kuwa muda wa kuchangia wa wabunge ni mchache kwa hoja mbalimbali na hili hudhihirika hata kwa wachangiaji kujikuta wakipigiwa kengela za...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia hii michuano, imekuwa na kizungumkuti sana. Imeletwa bila mipango thabiti kwani timu zimekosa viwanja kama uwanja wa Sheikh Amri Abeid (Arusha), uwanja upi utumike kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kiama barani ulaya; wakati ligi mbalimbali zikikaribia kuanza huwa kuna utaratibu ma bingwa wa ligi kucheza na bingwa wa kombe la ligi ktk nchi husika. 11/8/2012 Juventus vs Napoli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kiama barani ulaya; wakati ligi mbalimbali zikikaribia kuanza huwa kuna utaratibu ma bingwa wa ligi kucheza na bingwa wa kombe la ligi ktk nchi husika. 11/8/2012 Juventus vs Napoli...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Kawafungia mazembe goli la pili,mazembe 2- zamalek 0.mpira umeisha
0 Reactions
18 Replies
2K Views
http://www.azamfc.co.tz/news/club-news/2012/07/31/ngasa-akaribia-kutua-simba-sc-watoa-ofa-ya-milioni-25-yanga-waishia-milion Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kiungo Ramadhan Suleiman Chombo ‘Redondo’ leo amesajiliwa Simba SC, akitokea Azam FC katika mkataba ambao bado haujaeleweka, lakini habari za uhakika kutoka kwa Wekundu hao wa Msimbazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wanachama na wapenzi wa Dar Young Africans S.Club. Nawaomba muda huuu tuachane na propaganda za watani zetu wa jadi yaani Simba S.Club wenzetu wanajiimarisha katika kujenga kikosi chao wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu kanitumia hii article: Sex–testing, head-covering, outing, unisex crying, flowers and more Just a few mid-term up-dates on gender issues at the Olympics 2012...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbona kila siku yupo redioni,wakati wanzie wanapumzikaga!:A S-rap:
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Christiano ronaldo anaamini mechi ya leo na j5 dhidi ya AC milan inatosha kujuwa kama atachukuwa uchezaji bora wa dunia hapo 29th aug 2012
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Prezzo through to finals By JOHN MUCHIRI jmuchiri@ke.nationmedia.com Posted Monday, July 30 2012 at 01:45 Kenya's contestant in the Big Brother Africa reality show...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa ya Mashariki na Kati, Dar-es-salaam Young Africans almaaruf kama Yanga leo watakuwa bungeni kwa Mwaliko wa Waheshimiwa wabunge wanaothamini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Can U imagine bila usajili wa Mshambuliaji Mrisho Ngassa na beki kisiki Mbuyi Twite mkutano wa wana Msimbazi leo ungekuwaje...issue ya kula rambirambi za Mafisango(RIP) (kwani wako wana Simba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Edson Arantes do Nascimento - Pele (Brazil) Lionel Messi - Atomic Flea (Barcelona) Iddi Pazi - Tanzania One (Simba) Muhammed Mwameja - Tanzania One au Meja (Simba) Muhammed Hussein - Mmachinga...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Yule mchezaji mrefu na mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu, DIDIER KAVUMBAGU ametambulishwa rasmi na kukaribishwa kwa wana jangwani tayari kuungana na akina Kiiza na Bahanuzi katika safu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Serena Williams of the U.S. (C) poses with her gold medal along with silver medallist Maria Sharapova of Russia (L) and bronze medallist Victoria Azarenka of Belarus during the presentation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo asubuhi wamenikera kwenye kipindi chao cha michezo, eti wametangaza mechi kati ya Great Britain vs Korea iliyopigwa jana usiku eti hakukuwa na mshindi baada ya kuisha dakika 90 wakiwa drooo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cheki mwenyewe hapo video wenzetu wanajua kujiandaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom