Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Website ya simba mbona siielewi maana haijawa updated tangu mwezi wa 8 mwaka jana.HIvi uwanja wa simba umefkia wapi tena,hivi vifaa vya gym na sweeming pool bado?kiwanja cha bunju cha simba nani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sh1.3 billion Arsenal swoop for Victor Wanyama ‘in the works' Harambee Stars' Victor Wanyama in a tussle for the ball with Malawi Flames' Kayira Chamaonga on 2nd June 2012 during...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa mtazamo wangu:- Tom Saintfiet Mkuu wa benchi la ufundi la Yanga: Kocha bora wa mashindano. Vigezo vya ku'support hili:- 1. Ni kocha pekee kati ya makocha wote waliokuwa na team shiriki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Eti yanga ni ccm wakati yanga ilianzishwa mwaka 1935 ccm 1977. 2.watangazaji jana kwa mfano clouds fm wameitangaza fainal kwenye michezo yao kwa dakika3. 3. Wandishi wa habari kuponda...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kijana mmoja aliyekuwa anauza magazeti ya siku ya leo tarehe 29.07.2012,alijikuta akilazimika kurudi nyumbani mapema baada ya kujikuta akiniuzia magazeti yote mimi Baadhi ya magazeti hayo,mengine...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Huu wimbo wa yanga africa ulioimbwa na pepe kale, mimi siupendi yaani uaniuzi kishenzi. Na sasa kuanzia jana nasikia unapigwa sana kwenye radio mbalimbali sijui sbabu yake nini. Wimbo mbovu...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Siku zote matokeo ya uwanjani katika mchezo wa mpira wa miguu ndo hutoa picha kamili ya nani anajua. Yanga walipiga mechi 2 za kirafiki, ya kwanza dhidi ya Xpress ya Uganda ambapo walishinda...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
yanga kapata ubingwa kwa kumfunga Azam gori 2
0 Reactions
7 Replies
3K Views
JUMAPILI, JULAI 29, 2012 08:08 NA JENNIFER ULLEMBO YANGA imefanikiwa kumnasa mshambaliaji wa kimataifa wa timu ya Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu, kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
July 29, 2012 | VOA News Organizers of the London Olympics are trying to calm public backlash over why there have been so many empty seats in the stands in the first days of competition...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Bout Summary Corner Round 1 Round 2 Round 3 Points W Total Points W Total Points W Total RED 2 2 2 2 M 2 2 2 2 S 3 3 3 3 S BLUE 9 8 8 8 M 5 5 5 5 S 7 7 6 7 S RED...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bondia wa Tanzania Kidunda amepigwa na bondia wa Moldovia mda mchache uliopota. kapigwa kwa point 8-2, 5-2, 7-3. Footbal: Misri 1-Newzland 1.
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Salaam... Sisi wapenzi na mashaibiki wa yanga Tunapenda kuchukua uamuzi mgumu.UAMUZI WENYEWE NI KUWA HATUTAKI URAFIKI WA AINA YOYOTE NA NANYI YANGA NI TIMU KUBWA SANA NDANI NA NJE YA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
awali ya yote nitoe pongezi kwa kukamilisha mashindano hayo kwa mwaka huu...upande wa wangu niliona utoaji wa zawadi kwa washiriki mbalimbali ulikuwa mbovu...kwa maana ya kuwa tuliona pale kuwa...
1 Reactions
0 Replies
922 Views
Wengi wamekuwa wakiamini uwekezaji ulio' na unaoendelea kufanywa na mmiliki wa Club ya mpira wa miguu ya Azam ni njia mojawapo itakayoligeuza soka la Tanzania kutoka kwenye u'kichwa cha...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
CECAFA MNAZIPONZA TEAM ZA TANZANIA Kagame Imekshwa na Hongera watani YANGA Kwa kuutea ubingwa wako Lakini kama wapenda soka mstakabali wa timu zetu niupi? *Kwa utaratbu huu wa CECAFA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo nimeeangalia ufunguzi wa Olimpiki ,wakati washiriki wakipita mbele ya jukwaa kubwa kwa bashasha na kujivunia uataifa wao kwa mavazi nadhifu yanayotangaza uataifa wao m .......niliacha kazi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana tumeona jinsi opening ceremony ya olympic ilivyofana,ilikuwa organised na dany boyle, winning director wa slumdog milionaire na ili cost 42 million dollars sisi huku ile miaka 50 ili cost 17...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Back
Top Bottom