Mbwana Ally Samatta ameng'ara tena kwenye CAF Champions League 2012 leo jioni baada ya kuifungia timu yake dhidi ya Waarabu hao wa Misri. Bao la kwanza lilofungwa na kiungo Isaac Kasongo dk. 70...
Napenda kutumia nafasi hii kuwafahamisha wana Simba wenzangu juu ya ukweli uliopo kwa Emmanuel Okwi kujiunga na Yanga, Emmanuel Okwi anatarajiwa kurejea nyumbani hivi karibuni na mara tu atakapo...
Unaweza usiamini lkn Mshambuliaji mpya wa Mabingwa wa soka Tanzania Bara Mrisho Khalfani Ngassa leo ameanza mazoezi rasmi na team yake mpya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mbuzi ABC nini sijui...
BBC BBC News - Who, What, Why: Why are US athletes taxed on Olympic medal wins?
US medal-winning athletes at the Olympics have to pay tax on their prize money - something which is proving...
Chinese swimmer Ye Shiwen smashed world record by a second and her own personal best by five seconds
Coach John Leonard said history suggested doping could be involved
Called feat 'impossible'...
Ningependa kuwashauri muache kuyumbishwa na watu wasiolitakia mema soka la Bongo kwa maslai yao binafsi badala ya kulikuza na kuliendeleza kwa dhati,tuanze na viongozi wa vilabu haswa Simba na...
Wapenzi wengi wa soka walikuwa wanajua kuwa timu ya Azam ndiyo itakuwa mbadala kwa soka letu la bongo kumbe ni danganya toto, hii inatokana na bosi wa Azam kuingilia kazi ya kocha kwa kumpangia...
Hapo ndo mtakapojua kuwa soka la bongo la majungu, kukomoana, fitina na chuki. Hivi mtu na akili yako kweli unadiriki kufanya ujinga kama huu aliofanyiwa Ngasa? hilo suala dunia nzima hakuna lipo...
Wakati michuano ya cecafa inaendelea kulikuwa na matangazo ya bidhaa za azam kwenye uwanja wa taifa kikawaida ili mtu aweke matangazo hayo inabidi walipie lakini wakati wa utoaji wa zawadi kwa...
Katika kudhihirisha kama alikwenda Azam kimakosa kijana huyo mwenye kasi mithili ya B52, Mrisho Khalfan Ngassa katika mechi mbili za mwisho aliweza kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mashabiki wa...
Nimesikia BBC, mtoto wa miaka 16(nadhani wa kike) amevunja record upande wa kuogelea.
Inasemekana speed yake ilikuwa karibu sawa na ya muogeleaji mwanaume.
Ila baadhi ya washiriki wanasema hiyo...
kipindi cha spoti kizaazaa ITV jumapili usiku mida ya saa tatu aka "hospitali ya michezo",
kipindi hiki huwa nakifuatilia sana, lakini nashngazwa na jamaa mmoja mle ndani anaitwa abdul kipenga...
Kobe Bryants wife got mad at him for shirtless picture at Team USA party
Just like any wife who saw a photo on the Internet of her previously philandering husband sitting shirtless on a bar...
Na sema hvy coz tumeona nchi kama Jamaica kule mpaka Bolt akapata mpinzani!kuna na juhudi za mapema kabisa za kupata washiriki wenye viwango vya hali ya juu,sijajua sisi inakuwaje kila mara...
Mojawapo wa utofauti ambao nimekuwa nikiamini umeletwa na team ya Azam ni undeshwaji wa kisasa wa team hiyo inayomilikwa na mmoja wa matajiri wakubwa sana hapa nchini. Katika team hii sikutarajia...
Ammaar Ghadiyali will be swimming on Tuesday 31st July at 10am London time.The Dar time will be 12 in the afternoon.
MAIL RECEIVED FROM AMMAAR:
Dear All
I visited the Olympic village...
Katika mwaka ambao Simba wamelamba galasa ktk usajili wa wachezaji wapya ni mwaka huu 2012. Mchezo ulioonyeshwa na watani ktk kombe la Kagame ni wa kiwango cha chini mno hata hivyo sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.