Aaron Ramsey (Serial Killer)
1/5/2011 Score vs Man utd. 4Hours Later Osama Bin Laden Dies.
2/10/2011 Score vs Tottenham. 72Hours Later Steve Jobs Dies.
19/10/2011 Score vs Marseille. 12Hours...
makocha wetu wanatakiwa kujifunza kitu kutoka kwa Jose Mourinho (kocha wa real madrid) kwa kuwapenda na kuwaheshimu wachezaji, kwasababu tunajenga timu na siyo kupayuka na kuwakoromea wachezaji...
makocha wetu wanatakiwa kujifunza kitu kutoka kwa Jose Mourinho (kocha wa real madrid) kwa kuwapenda na kuwaheshimu wachezaji, kwasababu tunajenga timu na siyo kupayuka na kuwakoromea wachezaji...
Wafuatiliaji a wadau wa michezo
Ushiriki wetu au ushidnani wetu kwenye hii michezo ukoje?
Tuna ttarhet ya medali ngapi?
Michezo gani tutashirki/ tutashindana . Kwa ninisio pungufu au zaidi ya...
wachezaji wa kibongo wanahitaji semina elekezi ili wafike kama wengine.....
hawana nidhamu ya mchezo
hawana nidhamu binafsi
mdfano angalia kwenye hii tube..dakika 7.26...mchezaji huyu namba 5...
Just sending out word to all you sporty lot about the Tigo Ngorongoro half marathon in Karatu happening this Saturday. The best part, apart from the run, is that it is raising awareness about...
Baada ya goli la jana alilofunga dhidi ya Getafe katika ushindi wa Barcelona wa mabao 4-0,Lionel Messi amefikisha mabao 61 katika mashindano yote msimu huu.Sasa anamzidi kwa mabao mawili...
Huyu si mtu. Ila ni ndege aina ya mwewe, mali ya timu ya soka ya SL Benfica, yenye maskani yake katika uwanja wa Luz mjini Lisboa, Ureno.
Yeye huruka kuzunguka uwanjani na kuja kutua katika nembo...
Sijui kwa nini marefa wanapokosea ktk mechi wachezao man utd kila mtu anadai wanapendelewa, lakini makosa kama hayo yanapotokea 'to the advantage of teams other than man utd', watu wana-mute 'as...
wadau naomba mnijuze ilivyokuwa mpaka mwamuzi alivyoamua kumshushia kipondo mchezaji ktk ligi ya DRFA hii inasikitisha sana kama sio kuchekesha wa Tanzania tuna vijimambo sana
Wakuu leo j3 ya pasaka niko nyumbani nikiwa napitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari iliyo nifanya niandike hapa. Katikati ya gazeti kuna jarida la mwananch 2 ambalo ni maalum kwa habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.