Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Tibaigana na kamati yake kwa mara nyingine eti ameirudishia yanga Point zake tatu ambazo walikuwa wamepokwa juzi kwa kumchezesha Canavaro. kama kweli basi nitaachana...
unapozungumzia mchezo wa Soka basi kwa namna moja ama nyengine hutaacha kuitaja klabu ya soka ya AC Milan kuwa ndio timu ama Baba wa soka ulimwenguni.
Milan ni timu ya kila Siku, utawala wa...
Soka la Tz limekuwa halipandi kwa sababu za kuingiza siasa za Uyanga na Usimba katika mechi za kitaifa na kimataifa. Ninachoomba kwa sakata hili la Yanga kuhusiana na adhabu walizopewa, Yanga...
Marselle vs bayern munich
APOL vs real madrid
benfica vs chelsea
ac milan vs barcelona
semi final
marsell or munich vs apol or madrid
benifica or chelsea vs milan or barca
final...
Mwenye kujua wapi naweza pata meza (na vifaa vinginie pia) vya mchezo huo hapa Dar tafadhali saidia.
Kama utweza pata na bei pia itakuwa vizuri zaidi.
Thanks in advance.
Amakweli clouds wanazidi kujionesha wana maslahi na simba.Nilimsikia kibonde akifanya kampeni kwenye kipindi chao cha jahazi cha jana waliacha kuzungumzia maswala ya kijamii kama kawaida yao...
Mabingwa watetezi wa kabumbu nchini Dar Y.A. leo/jana (samahani, sina hakika na saa yangu) walikuwa wageni wa Coastal Union huko ugosini ambapo muda wa mchezo uliisha kwa mabingwa hao watetezi...
hatimaye dk za lala salama blackburn amekubali kuipa manutd point 3 muhimu!game lilikuwa gumu sana,vijana wa ot,leo hawakuwa mchezoni kabisa!hadi dk 81 antonio valencia akaipatia bao la...
Wakuu naomba kufahamishwa eneo au mahali gani nitapata vifaa vya michezo kwa mfano vyuma,maana nahitaji kunyanyua vyuma vya uzito mbalimbali, mimi naishi bagamoyo,tafadhali.
huyu jamaa hakamatiki, ni another level,
nadhani kwa kizazi hiki hakuna mchezaji anaemgusa,
ha suggested way ya kumzuia ni kama inavyoonekana kwenye picha lol
na kama unafikici cr. 7 ni mkali...
Naisikitikia sana nchi yangu ya TZ kwa kukumbwa na tatizo la kuchanganya siasa ktk kila jambo kama vile kwenye afya ,elimu,ujenzi,michezo nk.nimekua nikimfatilia muda mrefu huyu jamaa tangu akiwa...
Hivi kuna mtu yeyote wa kuniambia
ile taarifa kuwa Ngasa kafaulu majaribio
huko maerekani
na atakwenda January imeishia wapi?
naona sasa ni April kama sikosei na Ngasa yupo tu Azam anaendelea...
YAH: TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA
UCHAGUZI WA TFF JUU YA TUHUMA MBALI MBALI DHIDI YANGU YA
6/3/2012
Nimepokea taarifa za shutuma mbali mbali dhidi yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.