Ndugu wana Jamii na wapenzi wa mpira nchini.
Kwako TFF.
Nawasilisha utetezi wangu kwako kuwahusu wateja wangu Yanga na wachezaji wake watano uliowapa adhabu hivi karibuni. Yanga anahusika kwa...
Kamati ya nidhamu na usuruhish ya tff imefuta adhabu walizopewa wachezaji wote wa yanga kwa sabb kamati iliyohusika kotoa adhabu ilikua imekurupukia kazi isiyokua yao.na kwamba adhabu hiyo...
Manchester United imerejea kileleni mwa EPL kwa tofauti ya points tatu baada ya ushindi wake wa bao moja dhidi ya Fulham.Bao hilo pekee lilifungwa na Wayne Rooney muda mchache kabla ya...
Kutokana na mwenendo usioridhisha wa Inter Milan,klabu hiyo imemtimua kocha wake Ranieri.Wakati huohuo,ikikabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Barcelona hapo kesho,klabu ya AC Milan inaandamwa na...
Inter Milan wamemtimua kocha wao Claudio Ranieri baada ya kushinda mechi moja kati ya 10 za ligi. Hapa tunajua wazi nani anaenda kuchukua hiyo nafasi: Andre Villas-Boas
We wish him a very speedy recovery SAMATA out for ten days!
The scorer of the goal against Power Dynamos of Zambia in Kitwe, the attacker Tanzanian Mbwana Ally SAMATA will be sidelined for 10...
Habari wana JF, jioni ya leo kutakuwa na Mechi kati ya Man U ikipambana na timu ya Mwarabu,Fulham. Wana Man u tuiombee timu yetu ili tuzidi kuiacha Man City........NAWASILISHA
Wakuu kwa mwaka wa tatu sasa huwa nacheza kamari kwa kubet mechi za soka hasa ligi ya Uingereza pale New Africa Casino through ladbrokes tokea nasoma IFM na hadi sasa kwa miaka mitatu nimepoteza...
Mie nashangaaa sana....yaani leo kila sehemu ni simba simba eti wanawapa dole tupu kwa kuifunga timu dhaifu ya aljeria....hakuna m[pira wowote tz aisee msiwape sifa wala nini.....waambieni wapige...
NDUGU ZANGUNI BADO TUNAWEZA KUREKEBISHA MATOKEO LAKINI MPAKA DK YA 63 MAGOLI NI KAMA HAYO HAPO JUU DUA ZA WATANZANIA MZIDI KUIOMBEA SIMBA TUWEZE KUTAFUTA HATA DRAW
gUDNYT ALL
Nova2010 FC yachapwa 58-0
Wakuu na wachezaji wa timu moja inayocheza soka ya mitaa au bustani, wanajitahidi kutathmini kilichotokea na kusababisha kinachoaminika kua kipigo kikubwa kuwahi kutokea...
Mchezaji wa kulipwa wa mpira wa kikapu wa Tanzania, Hasheem Thabeet amechukuliwa na klabu ya Portland Trail Blazers inayoshiriki kwenye Ligi ya Mpira wa Kikapu nchini Marekani (NBA) kutoka klabu...
Ligi imefika patamu sasa,sisi Manu tunachekelea tu kwani mechi zetu zilizobaki ni nyepesi ukilinganisha na jirani zetu.Leo wana kibarua kigumu kwa stoke.
Hatimaye Barcelona imerudi kwenye mbio za ubingwa baada ya mfulululizo wa Madrid kutoa suluhu. wakati jumapili walitoa suluhu ya 1-1 na malaga kwa free kick ya dakika za mwisho leo pia wametoa...
kwa wale wasiojua kitu chochote kuhusu "Supper rugby" kuweni nami hapa nitajaribu kadiri ya uwezo wangu ku explain kuwajulisha machache ni ya juao .
South Africa, Australia na New Zealand ...
Jamani kuna mtu yoyote ana information na huyu mtu (John Stephen Akhwari) yuko wapi na anafanya nini?. Watu kama hawa wanapaswa kutuzwa kwa uzalendo walionyesha hasa kwa kizazi chetu cha sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.