The Argentine is typically associated with scoring goals rather than saving them, but he shows in this image that he's no slouch between the sticks, either
Mguu...
Baada ya kuzindua kituo cha tv (simba tv) kinachurushwa na clouds tv, sasa club ya simba inazidi kuchanja mbuga na kuzipiga bao club nyingine za africa na sasa ipombioni kuzindua redio yao binafsi...
Je mchezaji Athman Idd(Chuji) alikuwemo katika kikosi kilichocheza na Azam Jumamosi March 10? Chuji amekuwa akitajwa mara kadhaa kuwa mtovu wa nidhamu, katika vurugu zilitokea kwenye mchezo huo...
Yaani mwamuzi wa mechi ya leo ligi kuu z'bar uwanja wa mao tsetung kati ya zimamoto na kikwajuni kakimbia kama kibaka baada ya kipondo kikali! Source. Itv.
Kutokana na dalili za TFF zilizoonekana wazi kuzibeba timu za simba na Azam,na kutuharibia soka letu tunapenda kuwataarifu mashabiki wa Yanga kutoiunga mkono timu ya Taifa starz kwa namna yoyote...
This is play-off to reach champions league group stage
ODENSE vs VILLARREA
FC TWENTE vs BENFICA
ARSENAL vs UDINESE
BAYERN MUNICH vs FC ZURICH
LYON vs RUBIN KAZAN
WASLA KRAKOW vs APOEL...
gonga hapa Messi - what was said on Twitter - Football news | MSN Sport UK usome jinsi waliyosema akina garry lineker, demba ba, wayne rooney, sep blatter, etc baada ya lionel messi kupiga goli 5...
Leo wachezaji wa yanga Mwasika,Nurdin na kanavaro wameonesha jinsi gani hata masumbwi wanayajua pale walipoamua kumpiga refa wakigomea kadi nyekundu,hii inadhihisha jinsi gani wachezaji wetu...
leo gomez kaonesha kuwa kufunga magoli zaidi ya matatu katika mechi moja inawezekani ni baada ya kushusha kisago kwa wababe wa manure, fc baseball.. bayern kashinda 7 bila..
yeye katika uefa...
nafungulia tv yangu hapa!naona steven gerrard anatoka uwanjani anafuraha sana!nikiangalia tumbo lake naona kubwa kama mjamzito!nijuzeni wakuu!maana nimezima tv ghafla kwa kuogopa!
Nugu zangu watani wangu kina chisora ndio mpira gani tena mnataka ku u introduce nchini mwetu?
ndungu zetu mmeugeuza mpira kuwa uwanja wa vita? nafasi za jeshi zipo kibao...
KENYAN GOLDEN GIRLS SOUND OLYMPIC ALARM!!!
Kenya's Pamela Jelimo celebrates after winning the women's 800m final at the 2012 IAAF World Indoor Athletics Championships at the Atakoy Athletics...
wanajamvi mliopo uwanjani tuhabarisheni kinachoendelea kwenye hii mechi hivi sasa. kule simba thread na ligi kuu thread hakuna updates zozote hadi sasa
Yanga 0 ~ 1 Azam
Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro...
Hallo wanaJF,
Kamati ya uchaguzi ya TFF imemuangushia rungu zito mwana michezo M.Wambura kutogombea nafasi yoyote kwenye uongozi wa michezo maisha yake yote.Hii inatokana na tuhuma mbalimbali...
Wakuu ni kipa gani mzembe zaidi kati ya hawa
no 1
http://youtu.be/jxm0MPv90yU
no 2
http://youtu.be/MAaXQRt39d4
no 3
http://youtu.be/NyehinMg-r8
no 4
http://youtu.be/kF_6ZMuoIDY
no 5...
ZITTO ATAKA STARS IVUNJWE, POULSEN ATIMULIWE
KIWANGO kilichoonyeshwa na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, katika mechi dhidi ya Msumbiji, kimesababisha Mbunge wa Kigoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.