Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wapendwa wangu simba timu yangu ushindi jadi yetu..naomba tuache usimba na uyanga tushabikie timuyetu ukweli halisi kama mtaacha wachezaji maarufu kubaki uwanjani huku wakiwa awafanyi la maana...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
kwa kujisajili pigeni namba 0685250061 ama tutembele www.safarimarathon.com
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yule mchezaji bora wa zamani, Ronaldo De Asis Moreira, ajulikanaye zaidi kwa jina la Ronaldinho Gaucho amesikika akimbembeleza kocha mpya wa Selecao, yaani Brazili, ampe namba katika kikosi cha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu February 26, 2012 ndio game na starter wameshatajwa....kama kawa Dwight Howard kaongoza kura kwa Eastern Conference na Kobe kaongoza kwa Western Conference...... East – Derrick Rose...
2 Reactions
53 Replies
13K Views
hatimaye yanga yakamilisha ratiba ya michuano ya club bingwa africa,kama kawaida ya timu zetu,huwa hazina jipya kwenye michuano ya kimataifa.chuji alitolewa kwa kadi nyekundu,na zamaleck walikosa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mpaka dk hii zamalek inaongoza kwa bao 1,dhidi ya yanga.bao limefungwa na mido.katibu wa yanga anasema eti ilikuwa off side!refa akaacha tu!source.times fm.kipindi cha kwanza ndio kinakwenda ukingoni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani tupeane yanayojiri huko Misri
0 Reactions
90 Replies
8K Views
soka la bongo hovyo kabisa,maneno mengiiii!sasa kutua kishujaa ndio kutuaje?ndege ilitaka kulipuka?!ndio maana kila siku tunafungwa tuuu!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
mi ni mshabiki wa manchester!ilikuwa mechi kati man utd na chelsea!david luiz alitufunga bonge la goli mpaka japo umefungwa lakini unafurahia goli!je wewe siku gani timu yako ilifungwa goli zuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa soka ambao hawataweze kufika kwenye uwanja wa taifa siku ya jumapili basi waweza kutune Star tv kwani watakuwa wanafanya coverage ya mechi hiyo LIVE. Habari hii nimeipata...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Stay tuned...Simba SC launching its own TV Station this weekend Good move..congratulation
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hivi tatizo lenu nini? ulimbukeni au ndio bendera kufata upepo?? Nimesikia leo asubuhi RFA eti mashabiki wa soka Dar waliamua kuandamana kushinikiza kocha wa timu ya Taifa ajiuzuru atafutwe kocha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wandugu, Naikumbuka sana Pistons ya 2003-2004, enzi hizo kuna kina Teshawn Prince, Ben Wallace, Rasheed Wallace, Chauncey Billups Nk ilikuwa ni balaa full kutupa raha washabiki. Hebu tukumbushane...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Update: full time sisi moja na wao moja, tumejaribu, tumeweza, tumetoa droo!!! Staz 1 - 1 Msumbiji
0 Reactions
201 Replies
12K Views
Kikosi kamili kinaundwa na makipa Shabani Kado (Yanga), Juma Kaseja (Simba) na Mwadini Ali (Azam). Mabeki ni nahodha Shadrack Nsajigwa (Yanga), Masoud Cholo (Simba), Aggrey Morris (Azam), Juma...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
England vs Netherlands.live kutoka Wembley Stadium.Magoli ni bila bila.
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Hello JF members Tarehe 26/2/2012 ni siku nyingine dunia itahamia hapa Kilimanjaro hususani Moshi mjini. Karibuni sana kwenye mashindano haya ambayo yanafanyika kwa mara ya 10 sasa. Inaweza kuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa upande mmoja naona Stuart amefanya chaguo sahihi hasa kutokana na nafasi anayo chezea "combative midfielder" pamoja na kwamba ataongoza timu yenye wazoefu wengi na inayofuatiliwa sana na...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Leo timu yetu itashuka kupepetana na msumbiji, tuungane pamoja kuisupport na kuiombea ushindi wa kishindo. Kila la kheri!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Video: Kobe Bryant passes Michael Jordan’s All-Star record Los Angeles Lakers superstar Kobe Bryant has played in 14 All-Star games in his career, enough to put him at third place (in a tie) on...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom