Beki wa Vijana ataka uraia wa Italia
JACKSON ODOYO
MTANZANIA anayecheza soka Italia, George Mtemahanji amesema ataomba uraia wa Italia. Mtemahaji, ambaye anachezea Modena FC inayocheza Ligi...
Serikali yaitaka TFF kulipa gharama za jumla ya shilingi milioni tano kwa kuvunjika kwa viti 152 kwenye uwanja wa taifa siku ya mchezo wa SIMBA na KIYOVU
source:JF
hutaki acha
Kipa wa arsenal alishindwa kuvumilia na kuamua kumfuata muokota mipira(Ball -Boy) na kumkumbatia baada ya Theo Walcot kufunga goli la tano dhidi ya Tottenham Hotspurs katika mechi iliyopigwa...
Kwa upande wangu nampa nafasi kubwa Raphael Benitez, sababu mmoja ya makocha wazuri ambao hawana timu kwa sasa na inakuwa ni virahisi sana kumpata., tofauti na makocha wengine wanaopigiwa chapuo...
I am perfectly sure Manchester city is champion of Barclay's premier league this session no body going to stop him surely so god bless Manchester city,Ameeeen....:lol:......City fans oyeeeee.
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote.
Wanajamii; Wana JF
Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
Wana Jf
Katika nchi yetu ya Tanzania tumekuwa ni watu wa kubadilisha makocha kila siku iendayo kwa mungu,tumekuwa ni watu wa kuongea sana mdomoni na kuwapangia kazi makocha wetu wa Taifa kwa kile...
Habari na picha kwa hisani ya mamapipiro blog..
WACHEZAJI wa zamani waliopata kuichezea timu ya soka ya Simba, Zamoyoni Mogella ‘Golden Boy' (kushoto) na Boniface Pawasa wamewaasa wachezaji...
Ushindi huo mnono katika historia ulipatikana juzi Jumapili, 4 Machi katika mechi ya raundi ya 32 ya kombe la Nedbank kati ya Mamelodi Sundowns na timu ya daraja la nne ya Powerlines FC huko mjini...
Mtakubaliana na mimi mashabiki wote wa mpira haijalishi wewe ni wa timu gani.Man ni kiboko,ukiangalia jinsi TOTENHAM walivyokuwa wana posses mpira hasa kipindi cha kwanza, halafu Man wakatumia...
Robin van Persie scored a fantastic goal against Liverpool this weekend, beautiful long pass from Alex Song and The Viper scored what they call a beast goal, magical in nature.
In December last...
Chelsea has just sacked Andre Villas Boas.
UPDATE 1
Chelsea Statement
Andre Villa-Boas has parted company with Chelsea Football Club today. The board would like to record our gratitude for his...
sisi wakereketwa na wafurukutwa wa michezo tunaoipenda JF tunaomba Mods waanzishe jukwaa la michezo
SIMBA YAIFUNGA TIMU YA KIYOVU YA RWANDA 2-1
Mchezaji wa timu ya Simba mganda Emmanuel Okwi...
Naamini Kiyovu kimekuja kuchukua point zake tatu muhimu. Hakika leo kiyovu kitatutoa kimasomaso. Mimi nakitakia kiyovu ushindi mwema wa magoli 3 bila. Bila shaka sasa hivi simba kiroho kinadunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.