Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa?
Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha...
Ikiwa na takribani juma moja limepiti toka ZAMBIA kutangazwa mabingwa wapya wa soccer barani Afrika nadhani sio vibaya tukijikumbusha vipaji vipya vilivyojitokeza wakati wa mashindano haya,mimi...
MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Joseph Haule 'Prof J', amewataka Watanzania kuweka utaifa mbele kwa kuishangilia Yanga katika mchezo wake na Zamelek utakaopigwa Februari leo jioni.
J...
Mpira ndo unakaribia kuanza. leo sijui nani ataibuka mshindi. porto wanaongoza ligi ya kwao. wameshinda mechi tano mfurulizo huku wakiruhusu goli moja tu. manchester city na wao wapo kamili. hapa...
huyu jamaa ni mpenzi wa man utd,lakini anapokuwa anachambua mechi huwa anaonyesha mapenzi ya wazi wazi mno,kila ki2 utasikia pale ingejuwa man utd/ferguson!wachambuzi wote huwa wana mapenzi na...
In one of the most touching moments of the final, Zambian coach Hervé Renard gave his winners medal to Zambian FA president Kalusha Bwalya, who only survived the fateful crash as he was playing...
Nashangaa kuona mtu tena aliyejijengea sifa sana kama Shafii daudi, kila kukicha haishi kuliponda soka la bongo,
unajua watu kama hawa sometimes inageuka kuwa kero kwa sisi mashabiki hasa...
Mod. Napendekeza u-sticky pia topic ya Real Madrid kama walivyotendewa haki washabiki wa timu nyinginezo za majuu. (Binafsi siioni katika topics zilizopo).
Soka ndio mchezo wenye wapenzi wengi Tanzania na Duniani kwa ujumla,ili mchezo wa soka uwe wenye mvuto ni lazima sheria zinazouongoza mchezo huo zifuatwe.Waamuzi ni watu muhimu sana umuhimu wao...
To me SENEGAL, here is their squad that tells more...
Goalkeepers: Khadim Ndiaye (ASC Linguere), Bouna Coundoul (New York Red Bulls, USA), Pape Latyr Ndiaye (Ouakam)
Defenders: Kader Mangane...
Wanna stream live football in HD? Serie A, EPL, La Liga, BundesLiga and more? Here is what you got to do:
Make your coffee before kick off
Get sopcast, streaming software here >>>
Now go to the...
Wananchi wa ZAMBIA wanasherehekea ushindi katika viwanja vya wazi,wale wenye nafasi wanaweza kutazama. Underdog ZAMBIA imeweza kumuuwa TEMBO kwa kutumia CHIPOLOPOLO au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.