MAPENZI NI MAZURI PALE UNAPOPATA UMPENDAE UKAMFANYA UNAVYOTAKA
LAKINI AKIINGIA SHETANI MMOJA AKAJIFANYA ANAJUA KUPENDA BASI INAKUWA SHIDA TUUPU
UNAMJUA HUYU
"""""""""""""Howard...
Nimecheka sana kumwona paka aliyeingia uwanjani wakati Liver wanacheza na Spurs....Hata hivyo nimefurahi zaidi kwa jinsi ambavyo ametendewa kwa ukarimu na wadau wote.
Ingekuwa bongo...unadhani...
Naomba maoni tukiwakama washauri wa mmliki wa timu yetu maoni ni mazuri katika
kutoa ushauri na jinsi gani ya kuimarisha kikosi chetu cha man city baada ya kuona
inaendelea matokeo ya...
Ndugu zangu wanaJF,kwa muda mrerfuu sasa nimekua nikijiuliza nani ana mashabiki wengi kati ya klabu zetu kongwe hizi mbili,bila kutumia unazi,ushabiki wala upenzi wa timu hizi mbili,naomba...
kwenye hii link kuna picha a soka la zamani sana kutoka kwenye site ya FIFA.
Nimejaribu kuzipakua imeshindikana, hebu zitazame...
FIFA.com - England-Scotland matches throughout history
HUYU JAMAA NI ZAID YA SHOGA NA KAMA AMUAMINI ATAISHIA KULIA KWENYE NNE BORA
Roberto Mancini has revealed that he will consider Carlos Tevez for selection if he returns to Manchester City fit and...
Katika mchezo ambao vijana wa 'magamba' walitukaribisha wenyewe eti kusherekea kuzaliwa kwa chama chao, tumewapelekea gunia la mchanga kwenye pilau lao baada ya kuwatandika mabao 3 kwa 1...
Yule kaka aliekuwa akijibu jibu ovyo issue za mh michael wambura yuko hoi muhimbili akitafuta ma dk
wa kumsaidia sababu ya pressure...habari hizi ni kutoka kipindi cha clouds fm michezo
haabri...
ooohhh yes..
ningependa kusema team za Africa .. South Africa na Kenya ..
Kenya wameshinda kwenye pool yao na South Africa wameshinda kwenye pool yao...
Kwa sasa ni final New Zealand and Fiji...
Ali's legendary trainer Angelo Dundee dies at 90
Angelo Dundee was in Muhammad Ali's corner for nearly all of his career.
There was no way Angelo Dundee was going to miss Muhammad Ali's 70th...
Salama wakuu wangu wapenda michezo....
Kwa muda mrefu nimegundua kwamba TFF ya Leodgar Chilla Tenga imekuwa ikifanya jitihada kuhakikisha kwamba Michael Richard Wambura kwa namna au njia yoyote...
Wadau, ninakumbuka marefarii wetu waliovuma miaka ya nyuma.
1. Mohamed Nyama- Lindi. Huyu alikuwa mnazi mkubwa sana wa SImba nakumbuka kuna mechi moja ya Simba Vs Yanga aliivuruga kutokana na...
Huyu jamaa ananiua sana.alivokua mwandishi pale Mwanaspoti alikuwa kinara wa kuiponda sana TFF katika makala zake za gazetini.Lakini alivoingia Tff sasa amekua kinala wa kuboronga, kujikanyaga na...
Arsene Wenger hits back in war of words with President of RwandaArsene Wenger
Arsene Wenger has faced a barrage of criticism for Arsenals poor performances in 2012 from fans and journalists...
...Nilikuwa na wazee wa Simba uwanja wa Jamuhuri hapa Dodoma siku za karibuni,mzee mmoja wa Simba akasema ni bora ubingwa uende kwa Yanga au Villa Squad kuliko Azama FC.Lakini pia wa Yanga nao...
Inatupasa wana JF wote kujumuika na kuweka tofauti zetu kando na kwenda kuishabikia Manchester united itakapokwaana na Stoke city katika dimba la old traford mida ya saa tano usiku kwa saa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.