Nawashauri viongozi wangu wa Simba, Yanga ni timu ya kawaida sana endapo ujanja wao wa nje ya uwanja mtaudhibiti, wao wanajifanya wamewekeza kwenye tarehe 4 lakini nataka niwaambie kuwa Utopolo...
π’Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu?
Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha...
Niwakumbushe wana-Simba, mwaka jana ktk tamasha la Simba day kulitangazwa Sold out lkn uwanja ukawa na mapengo mengi. Sijui nn kipo nyuma ya hizi soldouts. Nashauri Hamasa iendelee
... [emoji772] π§π’π£ (3) π¬π πππ’π ππππ
"Mpinzani wa Yanga msimu huu 24|25 ni Azam FC sio Simba. Kuhusu Ubingwa nampa Yanga 50%, Azam 30% na Simba 20%"
"Simba bado inajengwa hivyo hawawezi kubeba...
LSOKA LA WANAWAKE: UJERUMANI YAICHAPA ZAMBIA 4-1
Mpira Wa Miguu (Wanawake)
Nigeria Wapigwa na Japani, 3-1
Handball
Misri na Ufaransa hakuna Mbabe, watoka sare 26-26
Mpira wa Mikono-Volley Ball...
Timu limefanya vizuri misimu yote mitatu mfululizo lakini wanasubiri tickets za bure.
Haya ni mazoea mabaya,siku walipotangaza supu ya bure jangwani walijaa sana,nashauri Siku ya mwananchi...
Hii mechi ya tarehe 8 kama kungekuwa na uwezekano basi kanuni ingebadilishwa Simba wasicheze na Yanga kwa sababu naona kabisa hii mechi inaenda kuvuruga watu upya kabisa. Simba ndo kwanza...
Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi?
Asanteni.π
Kijana wa Eritrea kwa majina ya Biniam Girmay kujishindia dola $533,915x 2600= 1,387,149,400
Kiasi kinaweza kuongezeka kama kulingana na mabadiliko ya thaman ya pesa.
Kweli nimeamini ukubwa wa...
βWachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa βMakoloβ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji...
Habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kwa wale mafundi wa playstation 4, jinsi ya kukaba kwenye fifa 24 au 23, nimegundua nikiwa nacheza...
Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende.
Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku...
Hatimaye kwa mara nyingine na kwa mara ya tatu mfululizo timu ya Mo Dewji imenyakua kombe la kujaza uwanja kama kawaida katika mwanzo wa msimu.Katika hali ya kustaajabisha na ya kusikitisha timu...
Habari watu wa Soka
Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17.
VIGEZO:
1. Ni...
Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC.
Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa...
Ifike pahali hawa Vibonde Yanga na Simba ipigwe mbugi hata kama ya pre season ama kirafiki kwa neutral ground, namanisha sio bongo lets say ngoma inapigiwa Kasarani huko ama kwa Madiba na ikibidi...
Tazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
h
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba...