Dogo (C. Anthony) will make his NY Knicks debut tonight againts the Bucks Milwaukee. Binafsi kama mpenzi wa Knicks natumaini huenda huu ukawa mwanzo wa kufufuka kwa hii timu, kwani ukibonde...
\
Haya wazee wa kujinyoosha ndio wakati wetu huu......
...Doc Divers ma favourite coach will lead the easthern side yenye wakali kibao.... na Gregg Popovich toka Spurs atakuwa West....
.....
Hapo juu ndi timu zilizowahi kuwa mabingwa wa Ulaya tangu inaitwa European Champion Clubs Cup (sasa inaitwa UEFA Champions League) tangu 1956
Hapa juu ni Ubingwa wa Ulaya wa klabu - Nchi...
Manchester United itaendeleza mbio zake za kuwania Champions League title leo kwa kuifuata Marseille kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Stade Velodrome. Kama tujuavyo tunategemea utamu wa...
Naamini kila Mtanzania anajua na kutambua ukweli kuwa timu zetu za Simba na Yanga ndiyo timu zilizo na wapenzi, washabiki na wanachama wengi hapa nchini. Makisio yangu ni kuwa kati ya Watanzania...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa Boxing,
Then,ninapata wakati mgumu kuelewa kwamba who was the best boxer bwetween Tyson and leenox Lewis.
Lewis beat tyson in undisputed heavy weight champion for the...
mara nyingi watangazaji wa redio wamekuwa wakilitumia neno hili ''nigga'' au kucheza nyimbo zenye neno hili bila kukatwa au maneno mengine pia, hivi hawajafundishwa maadili ya maneno ya kutumia au...
In a tearful announcement, one of the world's greatest soccer stars, revealed his decision to retire, ending one of the most successful careers in soccer.
Former Brazil striker Ronaldo cries...
Wenger: Arsenal capable of Quadruple
February 19, 2011
Arsene Wenger insists that Arsenal are capable of winning the Quadruple this season, claiming his team have the belief and commitment to...
If Manchester United win the title, it will be Sir Alex Ferguson's finest achievement. Not because he will have finally knocked Liverpool off their perch by claiming a record 19th championship...
Jamani wana jamii wenzangu! Hivi ving'amuzi me mbona sivielewi kipi ni kipi? maana naskia kuna vya startimes na Tiang sasa kipi kizuri nataka ninunue maana bei naona affordable.. tatizo sijui...
The mystery of the incorrectly numbered Michael Jordan statue
Like all the great mysteries throughout history, this one features Canadian pop stars, a late-night talk show host, bald caps, a...
Wakuu nimekutana na wadau wa mpira wamenihabarisha leo na kesho king'amuzi cha startime wataonyesha ligi ya mabingwa Ulaya.Wenye king'amuzi msipate taabu tupieni macho KBC mtaone mechi bila...
Mshambulia nguli aliyepata mafanikio makubwa ktk medani ya Soka barani Europa Ronaldo Luiz Nazario Fenomeno de Lima ama Elgodo yaani bwanyenye ametundika Daruga baada ya timu Anayochezea ya...
Nimekuwa nikijiuliza siku nyingi na sipati jibu,iliwahi kunitokea siku moja nikiwa nachezesha mpira wa miguu kama referee.Ilitokea kwenye mpira wa kurusha toka nje ya uwanja,na mchezaji aliporusha...