Yanga ni timu ghali kuiona laki 2
lakini SIMBA bure free kabisa hii inamaana simba haina thamani au vipi?
Mimi ni mshabiki wa Simba.
POLENI WANA SIMBA WENZANGU TUMEKOSA KWENDA BRASIL :msela:
Footballers are already stereotyped as being a bit underwhelming in the brains department and this really isnt going to help their cause one little bit.
As if leaving the car abandoned for...
Messi kwa kweli anaitafuna La Liga kama vile ni Ligi Kuu ya Shangazi yake, kila mwisho wa wiki ana mabao mawili au matatu, na Barca hawapitishi wiki bila kupiga mtu 4 au zaidi. Nadhani Messi aende...
nauliza jamani hii timu iliyokuja ndio yenye maana inaonyesha leo wanacheza kwao na Corithians muda wa saa 10:30 za Brazil kwa kuangalia vizuri gonga hapa CA Paranaense - Results, fixtures, squad...
MFADHILI na mdhamini wa klabu ya soka ya Yanga Yusuph Manji yuko mbioni kuinunua timu ya TMK United endepo timu hiyo itafanikiwa kuwa miongoni mwa timu nne zitakazopanda na kucheza ligi kuu msimu...
Wadau wa soka kuna gemu kali kinoma (japo Taifa Stars tumetolewa) ya nusu fainali kati ya Kenya na DR Congo mwaweza kucheki live katika link hii hapa....
YaSports : Watch All Sports Live Online...
Taifa Stars a.k.a JK eleven, wameshindwa hata kupata milioni 40 za mshindi wa tano baada ya kuchapwa na Sudan 2 - 0. Tunaweza nini wandugu?
sio tetesi jamani ni kweli, sorry kwa neno tetesi
Ulikuwa mchuano mkali kati ya wachezaji watatu wa timu ya barcelona ( Messi, Xavi na Iniestana) kocha wao ndo aliyekabidhi tuzo. Mourinho atwaa tuzo ya kocha bora
MVUA kubwa iliyokuwa ikinyesha bali ni manyunyu, lakini hali hiyo ilisababisha mchezo kati ya Taifa Stars na Sudani uliokuwa ufanyike jana ukwame.
Taifa Stars na Sudani zilitarajiwa kuumana...
"TUNAJUA matokeo yetu yamewanyong'onyesha Watanzania, hatutawaangusha tena,
tutaifunga Uganda na kufuzu nusu fainali," hiyo ni kauli ya nahodha wa Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa akizungumzia...
KIPIGO cha mabao 5-1 ilichokipata Taifa Stars kutoka kwa timu ya taifa ya Misri, Pharaos, kimesababisha madhara makubwa katika ngazi za ubora wa viwango vinavyotolewa na shirikisho la soka la...
hii iatokana na ukweli kuwa baadhi yao wanashindwa kabisa kufuata maadili na misingi ya usomaji ikiwa ni pamoja na kuwa biased,kutokuwa na ufahamu wa michezo na matamshi mabovu..karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.