Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MBUNGE wa Singida Mjini Mohammed Dewji ameanza kusaka maoni kupitia mtandao wa facebook ili kujiridhisha kabla ya kumwaga wino wa kuidhamini tena Simba. Dewji maarufu 'Mo' ambaye wiki moja...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
MWENYEKITI wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kikosi chake kitatumia mbinu za timu ya APR ya Rwanda kuifunga TP Mazembe ya DR Congo endapo watapata nafasi ya kucheza na mabingwa hao wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
FRED Felix Minziro has returned at Young Africans as an assistant coach, it has been learnt. Reports said on Tuesday that Ruvu Shooting agreed to release Minziro following a request by Yanga...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
JUMLA ya wachezaji 26 wamesajiliwa na klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara katika dirisha dogo lililofikia ukomo juzi tayari kwa kuanza mzunguko wa pili unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 15...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo inaanza kutupa karata yake ya kwanza katika mashindano ya nchi za Ukanda wa Bonde la mto Nile na Ziwa Victoria Nile Basin , itakapovaana na Burundi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Los Angeles Galaxy's David Beckham chases down the ball during their MLS Western Conference final soccer match against FC Dallas in Carson, California, in this Nov 14, 2010 file photo...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
CHAMA cha waamuzi (FRAT) Mkoa wa Singida kimesema hakikubaliani na maamuzi yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi ya FRAT Taifa, Muhidini Ndolanga, kufuta matokeo ya chaguzi zote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikisikiliza huu wimbo nakumbuka enzi hizoooo...dunia ilikuwa full raha sio zama hizi. Pata kitu From Luciana de Mingongo from Congo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Later years: Tukumbushane kidogo tu. Marley perforning in at Dalymount Park in the late 1970s Illness At the start of the European tour, Marley injured his toe playing football. In July...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hatimaye yale majigambo ya nani zaidi kati ya mabondia Francis Cheka na Mada Maugo yamepata jibu yaani Francis Cheka ni mbabe! Kinyume na matarajio ya mashabiki wengi waliojitokeza kushuhudia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wazee nimekuwa nikipata habari za kusifika sana kwa Bondia Francis Cheka hasa miaka hii ya karibuni. Hivi huyo jamaa ana sifa gani hasa katika fani ya ngumi. Mwenye data naomba atujuze , jamaa ana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Roman Abramovich thwarted in attempt to fly African porters to London for a Chelsea game Roman Abramovich, the owner of Chelsea football club, attempted to reward African porters who helped...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Jamani mwenye updates za hili pambano naomba atupe, nimejaribu kutafuta updates bila mafanikio. Msaada plizi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wale jamaa wamemtimua kocha wao licha ya kuwapa ubingwa wa dunia. Wanataka mtu wa mafanikio kama Jose Morinho, Mbona hawa jamaa hawana subira. I hate them
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nyimbo huwa zinaimbwa lakini kuna nyimbo sijui lini tutatangaza tumezichoka? kila mwaka zaonekana mpya hazichuji, safi sana hii. Nawatakia heri ya mwaka mpya 2011. Sikiliza wimbo huu as my...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Former simba sports club chairman majid Seif dies in muscat oman!! inalilahi wainalilahi rajun!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
This could interest Man U fans......... ====================================== It is still a slump, or is this just the player Wayne Rooney has become? Last night, in a premiership match...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
(CNN) -- Inter Milan's new coach Leonardo has revealed how he consulted with former Nerazzurri boss Jose Mourinho before deciding to take on the job. The Brazilian has spent much of his playing...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Arsenal imelazimishwa kwenda sare na Wigan ya magoli 2-2. Wigan wakicheza nyumbani ndio walikuwa wa kwanza kuliona lango la Arsenal kupitia mkwaju wa penati uliopigwa na Ben Watson katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msimuu lazima tuchukue kombe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom