Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

The Kilimanjaro stars 1 Ivory Coast 0 hongera nafikiri hii ni baada ya miaka 16 bila kuwa na kombe la Challenge. Tuombe tena michuano inayofuata Kikwete asiende uwanjani au apate safari ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jana, michuano ya soka kwa nchi za Afrika Mashairiki na Kati maarufu kama Kombe la Chalenji ilifikia tamati baada ya kufanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 27 ambapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJ, mimi bado niko njia panda, kwa sasa kuna mashindano ya CECAFA yanaendelea ambapo kuna timu ya Tz inafanya vizuri. Kwa nini mara ingine initwa Taifa stars na wakati mwingine Kilimanjaro...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
TUNASTAHILI KWAPONGEZA JUMA NYOSO NA KELVIN YONDANI pia na MWASIKA plus nahodha. Tuache u simba na yanga, kweli beki zilitulia kuanzia siku ya uganda, kwazibiti kabisa uganda kama Emma Ukwi. Kweli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa juhudi maksudi na za dhamira njema zilizofanywa na JMK za kuinuwa Michezo, Hususan kandanda, leo tutashuhudia Tanzania ikinyakuwa kombe la Challenge baada ya miaka mingi sana. Hongera...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu.. Nitawezaje kupata channels za hapa kwetu ukiondoa Ch. Ten, TBC 1 TBC 2wa kutumia king'amuzi tajwa hapo juu? Kua mdau alichangia post fulani akaweka maelezo haya "Setup ni kuwa 1.Click...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salama wakuu?...Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza na kuwazua na kujiuliza maswali kibao juu ya vigezo vilivyoipa Star TV mkataba wa kuonesha moja kwa moja michezo ya VPL....Pamoja na kushinda...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kili stars wakiwa ikulu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naona Arsernal kakabwa hadi penati... just a joke
0 Reactions
0 Replies
996 Views
...huwa nafuatilia sana taarifa za habari za hapa bongo na vituo vya nje kama CNN, BBC na SANBC. Vituo vya nje vinapotangaza matokeo ya mechi fulani ya soka huwa lazima virushe clip za mabao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vipi gem ya leo ndugu zangu? jinsi Man U ilivyo kwenye form siogopi kuahidi mvinyo kwa watu watakao kua karibu na meza yetu, karibu tunywe hope nitakua san ciro
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inaonekana kila ukikanyaga tunafungwa sasa uamuzi ni wako kama unataka tushinde au ! Kumbukumbu za karibuni Tulifungwa mechi muhimu na msumbiji-Ulikuwepo, na Morocco ambako ulipiga kampeni na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwenye updates na aliyeikwaa hii nafasi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chelsea kama nyoka wa kibisa sasa hata mtoto anachezea.....angalie msimwige Liverpool
0 Reactions
0 Replies
2K Views
leo mashindano ya challenge yanatarajiwa kuanza leo ni timu yetu ya taifa itatimuana na Zambia katika ufunguzi wa mashindano haya Tanzania itawakilishwa na zanzibar heroes na kilimanjaro heroes...
0 Reactions
668 Replies
39K Views
Hivi najiuliza ile forward ya Kili Stazz bila machachari ya Ngasa itafurukuta kwa the elephants? japo ni mfupi na lishe ndogo lakini ni pigo kumkosa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wanaJF. Leo mahala ambako mpenda soka anatakiwa awe ni Uwanja wa Taifa. Poleni kwa wale ambao hawatakuja kutokana na sababu mbalimbali. Msijali nitawawakilisha vyema.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajf na wapenzi wa mpira wa miguu, naamini kuwa sote ni wenye furaha baada ya ushindi wa timu yetu. Hata hivyo naamini kuwa ushindi huo hautakuwa na maana yoyote, iwapo Tanzania haitakuwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom