Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mozambique v Tanzania | International friendlies 2010 - Yahoo Eurosport UK Mlio karibu na mlio na taarifa mtuhabarishe, Tanzania inaweza mechi tatu siku tatu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Barcelona's creative triumvirate of Lionel Messi, Xavi Hernandez Creus and Andres Iniesta have been shortlisted for the FIFA Ballon d'Or award, with the winner to be crowned the world's best...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habar wana sports,baada yakupotea kwa mda mrefu,nsaidieni tetesi za mastaa usajili dirisha dogo ususan barclay's premier league
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Cena is fired after givin' win wwe title to randy orton instead of wade barrett.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ninaomba Wana JF walio na matokeo ya mechi za leo watuwekee. Asanteni sana
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Vijana wa kili stars wanaumana vikali na the cranes ya Uganda na hadi ninaingia on line dakika chache kabla ya mpira kwisha hakuna mbabe.Mungu ibariki tanzania
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani, wengine tuko huku mashenzini leo... hakuna cha radio wala TV na leo kuna hii "crunch" game ya Tanzania Bara na Uganda semifinal ya CECAFA Challenge Cup. Hivyo tunaomba wenye access ya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kili Stars kazi moja muhimu leo Send to a friend Thursday, 09 December 2010 21:48 0diggsdigg Michael Momburi KILIMANJARO Stars leo ina kazi mbili muhimu kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kulikuwa na utaratibu wa kuuza ticket za mechi ambazo zinachezwa uwanja mpya wa taifa maeneo mbalimbali town, lakini tangu viingilio vipunguzwe ili kukidhi maisha halisi ya mtanzania, ticket sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wapenda soka wa club za hapa nchini. Kama mtakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 1990 club ya simba ilikuwa na wafadhili SHAFI BORA na AHMED BORA. Siwasikii siku hizi, WAPO WAPI??? TUJUZANE
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kila Mechi Rais Wetu kuhudhuria Jijini Dar Es Salaam Taifa Stars inafungwa au Sara haishindi Wana Jamii hamuoni kuna ni busara kwa Rais Kukaa Nyumbani kuliko kwenda Uwanjani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Benitez maji ya shingo huko Inter! Rafa Benitez in a World of trouble at Inter Rafa Benitez admits he is anxious to win the Fifa Club World Cup to save his job at Inter Milan. Benitez, 50, is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MSHAMBULIAJI wa timu taifa ya Kenya 'Harambee Stars' John Baraza ametoa usia kwa wachezaji wenzake wanaoshiriki michuano ya Cecafa kwa kusema kama wanataka kucheza soka kipindi kirefu basi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
VIGOGO wa soka hapa nchini Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam leo zinatarajiwa kuanza kujinoa kwa ajili ya kukabili mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara unaoanza kutimua vumbi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Doris Maliyaga KOCHA mkuu wa Somalia, Yosof Adam amewaomba msamaha wadau waliokuwa wakivutiwa na timu yake lakini akasema ilikuwa vigumu kwake kufuzu kwa sababu ni michuano mikali. Adam ambaye ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari kutoka blog ya michuzi ni kuwa wanaume na wanawake kwa ujumla wameng'ara sana katika mashindano hayo kwa kuchukua nafasi za kwanza hongera ube cheki huku gonga
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Barcelona trio Andres Iniesta,Xavi Hernandez and Leo Messi will battle for FIFA Balon dor 2010
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtandao wa Goal.com umechemsha vibaya baada ya kusema kuwa Claude Makelele ni kipa , wakati ukweli halisi mchezaji huyo ni kiungo Claude Makélélé - Wikipedia, the free encyclopedia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In football or soccer, classy is permanent and form is temporary. A classy player will always be classy no matter whether his form is good or bad. Is it true guys?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom