Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba 1 - 0 Yanga (Musa Mgosi) Kombe la Mapinduzi. Uwanja wa Amani.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ITV hivi sasa wameimprovu katika taarifa zao za habari, na hasa habari za michezo, sio kama zamani ambapo habari zilizotawala zilikuwa za michezo ya mchangani!
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau Stars na Uganda imeishaje huko Misri?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bora huyu mara mia, alitutoa mbali sana......... kuliko huyu aliyeonesha kubahatisha 'challenge'
0 Reactions
4 Replies
2K Views
haya jamani msimamo ndio huo
0 Reactions
0 Replies
10K Views
wazee nipeni link
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wow..leo siku yangu imeenda vizuri sana na kazi nachapa ile mbaya hapa ofisini baada ya kupata taarifa ya kua Roy hogdson amefukuzwa kazi. Kenny Daglish amepewa nafasi ya kuiongoza liverpool...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jumapili apange kikosi kamili au aweke yosso kwenye FA cup?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIPIGO cha mabao 5-1 ilichokipata timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ juzi kutoka kwa Misri ‘Pharaos’ kimetokana na sababu tano za msingi, huku kikiwa kimemchanganya Kocha Mkuu, Mdenish Jan...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
M/kiti wa Simba SC Ismail Rage ametuibia siri kuwa timu ya APR ya Rwanda ndo kiboko ya timu ya TP mazembe, japo hajatuambia wamekutana na kufungana au kudraw mara ngapi.Mazembe ndo mabingwa wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Japo inaumiza kuona magoli yanaingia golini kwetu tu, sio mbaya tukaona namna yanavyoingia hapa mips.tv hwawshy14 - Other Sports - Live Streaming Enjoy...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
AKHLAN wasaalan msomaji wangu wa Jamvi la Kulonga, nianze kwa kukutakia heri ya mwaka 2011, kwa kuweza kuingia kwa kishindo lakini zote zikiwa ni neema zake Muumba wa mbingu na ardhi. Hili ni...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania, TFF limeunda kamati ya watu watano kuchunguza tukio la kushindwa kupiga wimbo wa taifa kwenye mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Oktoba 9 mwaka jana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikubwa ambacho MAN utd wanacho ni BIG MANAGER. Timu kama Chelsea ina wachezaji wakubwa lakini imekosa manager. That is the difference.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pressure builds on struggling Premier League managers - ESPN Soccernet Avram Grant, Calro Ancelotti, Roy Hodgson & Gerard Houllier....nani kibarua chake kitapona hapa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Los Angeles Lakers Kobe Bryant (left) drives past Memphis Grizzlies Tony Allen during their NBA game in Los Angeles, California, Jan 2, 2011. [Photo/Agencies] LOS ANGELES - Rudy Gay and the...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
gulfnews : Jordan's Prince Ali wins Fifa vice-presidency Prince Ali bin Al Hussein
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu yetu ya Taifa inaanza kampeni za kutwaa kombe la bonde la mto Nile kwa kutupa karata yake ya kwanza kesho kwa kupambana na timu ya taifa ya Misri. Stars ambayo kwa mara ya mwisho ilifungwa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
bado nashindwa kuelewa nani alimshauri mheshimiwa JK kuwa wasanii wanahitaji studio. ona sasa hata wasanii wenyewe studio hawaitumii au hata wengine wengi hawana taarifa nayo. mimi nadhani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom