Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kaizer Chief kafa 4 bila kwao, naogopa tuendelee kujadili jezi au tujadili namna ya kuwazuia wasitudhalilishe?
3 Reactions
9 Replies
513 Views
Wanasimba wana haki yakujua kile kinachoendelea kuhusu timu yao, lakini kinachofanyika ni uhuni tu usiyokuwa na maana yoyote.. Tunatangaziwa Simba inacheza mechi za kirafiki na timu za madaraja...
5 Reactions
16 Replies
921 Views
VIPENGELE: 1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana) ▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC) 2: KIPA BORA ▲Ayoub Lakred - (Simba SC) ▲Djigui Diarra - (Yanga SC) ▲Ley Matampi - (Coastal Union) 3: BEKI BORA...
1 Reactions
4 Replies
973 Views
Mimi ni shabiki lakini lazima ukweli usemwe, Simba tunakwama wapi kwenye kutengeneza jezi kali? Hizi zinatofauto gani na yale matambara ya kwenye mitumba karume? Kwamba designer amelipwa mamilioni...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu. Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi. Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Jumapili hii, wananchi Yanga SC watakuwa dimbani tena katika Kombe la Toyota wakicheza na Kaizer Chiefs ya kocha Nasreddine Nabi. ---- Kikosi cha Yanga kinachoanza 5' Keiza 0 - 0 Yanga 10'...
28 Reactions
619 Replies
24K Views
Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball. Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save...
15 Reactions
60 Replies
2K Views
  • Poll Poll
staa wa muziki wa bongo fleva nchini tanzania Diamond platmumz amefanya show ya kibabe usiku wa kuamkia leo julai29 huko barcelona nchini Hispania katika event ya afrobrunch ikiwa ni maadhimisho...
1 Reactions
1 Replies
371 Views
Kama kujiuzuru kwa Ali kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara . Ni bora Manara aondoke Yanga Thread hii sehemu ya kuzungumza ukweli ikiwa Aki kamwe kujiuzuru ili haji Manara achukue nafasi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre...
14 Reactions
28 Replies
1K Views
Unaambiwa sio Tanzania tu ....ni Africa nzima jezi ya wananchi inazidi kuzua gumzo Kwa kuongelewa na pages nyingi za Michezo ....... private pages na media mbalimbali Africa nzima Baadhi ya pages...
15 Reactions
50 Replies
2K Views
"Yaani kila nikitaka tu kusema Jezi za Yanga SC ni nzuri kuna Akili inaniija na kuniambia niachege Ujinga" Oscar Oscar.
4 Reactions
12 Replies
848 Views
Eng. Hersi hongera kwa kazi nzuri, ila designer wenu naona amejawa sifa mpaka kaharibu jezi sasa ni lini mtaboresha logo yenu iliyokaa kizamani kwa muda mrefu?
1 Reactions
0 Replies
219 Views
Baadhi ya Mashabiki wa Simba wameondoa neno SANDA ambalo lipo kwenye jezi mpya ambayo imetambulishwa kuwa jezi ya msimu wa 2024/25. Unadhani ni sahihi kufanya hivyo?
12 Reactions
59 Replies
2K Views
Tulikubaliana tukipanda daraja hakuna kuwa na ukaribu wa namna yoyote na timu za kariakoo. cha ajabu uongozi umeenda kuchukua udhamini wa GSM kwenye utengenezaji wa jezi na pia kuwa mdhamini wake...
2 Reactions
2 Replies
426 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I...
7 Reactions
7 Replies
554 Views
Wakati swala la mchezaji Lameck Lawi likiwa kwenye kamati ya Sheria na hadhi ya wachezaji tayari taarifa zinasema ameshafanyiwa vipimo na timu ya Genk ya Ubelgiji. Kama wamemfanyia vipimo ni wazi...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakati Yanga wanashambulia kwa Kasi wao wakipata mpira wanacheza na majukwaa. Vilakazi alikuwa na mambo Skudu tu hamna kitu. Kwa ninavyoiona Utopolo kazi kwa mtu kutakuwa na kazi. Ila Kaizer ni...
1 Reactions
14 Replies
551 Views
Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich. Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
1 Reactions
16 Replies
497 Views
Aisee katika klabu mbumbumbu ni Simba yaani Kibu Denis msimu uliopita alifunga goli Moja yenyewe yakakurupuka yakampa mkataba na million 400 baada ya kusikia Yanga wanamhitaji. Kilichofuatia...
16 Reactions
58 Replies
2K Views
Back
Top Bottom