Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5...
Salam.
Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi!
Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni...
Hizi timu zenye uzamini na GSM zinapokutana na Simba zinaaidiwa Posho zinaingia Zimekamia na kuumiza wachezaji,
Ni tofauti zinapokutana na Yanga zinalegeza na kucheza kwa maelekezo, hii ni...
Straika Rasmus Hojlund na beki aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 52, Leny Yoro wamepata majeraha wakati Timu yao ya Manchester United ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal kwa magoli 2-1...
Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana..
Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid.
Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi...
Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano.
Kama ni...
Hii ni moja ya timu yangu pendwa sana ila nashangaa Sasa hivi sijui ndio pesa hamna aisee yaani huyu mtoto Nico Williams anatutoa jasho aisee haya mateso ya hii klabu yangu kutoka moyoni yataisha...
Huyu ni Pyar Kalho Naho
Mwanasoka nguli wa India na adui mkubwa wa Nigeria
Kulingana na hadithi, mwishoni mwa miaka ya 1970, wakati wa mechi kati ya India na Niger, Kalho Naho alichukua jukumu...
All in all Sheri ngowi kazini kwake kuna kazi . Baada ya simba kuchukua designers wake wa jezi . Jamaa kila design mpya ni mbovu . Amerudia sana Jezi mpya . Inshort sio talent yake anatafuta...
Katika ulimwengu wa michezo, hususan soka, uongozi na mawasiliano ni sehemu muhimu sana ya mafanikio ya klabu. Klabu ya Yanga, moja ya klabu kubwa na yenye historia ndefu nchini Tanzania, hivi...
EXCLUSIVE; Mshambuliaji Kibu Denis Prosper amerudisha pesa zote ambazo alilipwa na klabu yake kama Signing Fees pamoja na mshahara wa mwezi mmoja kwenye Account ya Simba NMB.
Kibu Denis Prosper...
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka Africa ya kusini, na kwamba Makocha kadhaa wamehudhuria, wakiwemo Ibenge na Cisse wa Senegal
Pia Rais wa Yanga ameonekana kujichomeka kwenye hafla hiyo, Japo...
#MsasaSports
YANGA SC YAINGIA KWENYE HISTORIA
YA HIGHLIGHTS YA MECHI YAO KUWA
NDANI YA YOUTUBE YA BUNDESLIGA...
Na Godson Mbilinyi
Unapotaja Ligi Kubwa za Soka duniani huwezi kuiacha Ligi Kuu...
Msikie alichokizungumza Mchezaji wa Simba Kibu D baada ya sitofahamu inaendelea kati yake na Klabu yake na Simba
Ambapo hapa ameeleza kila kitu na kumuhusu Meneja wake ambaye ndiye alikuwa anatoa...
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga.
1. Pre season vs Augsburg fc
Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo...
Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni.
Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao.
Kibu Ali sain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.