ELie Mpanzu miaka 22 kutoka congo atatambulisha hivi karibuni mitaa ya msimbazi
Elie Mpanzu alikuwa mchezaji wa As Vita club ambaye mkataba wake umetamatika msimu huu,Kwa mujibu wa manager wa...
SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa...
Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka...
Those designers of Young Africans' jersey who worked with Sheri Ngowi and left the company created their own company, leaving Ngowi lost and GSM losing millions of money in advertising...
Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza.
Eneo la Jezi ni moja ya...
Mawakili wa Club za mpira tekelezeni wajibu wenu badala ya kulaumu wachambuzi na wachezaji
Na Wakili Zawadi Lupelo
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na makala fupi ya Mwanasheria...
Hili ongezeko kubwa la mbio za marathons na watu wengi zaidi wakiongezeka kushiriki hizo marathon kumechochewa na nini? Kuna siri gani huko kwenye marathons
Kuna faida gani kubwa hasa katika...
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU
Mara upo Marekani,
Mara upo kijijini,
Mara haupo kambini,
Hatukuoni ndegeni,
Twakuita kikosini,
Sasa upo nchi gani?
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE...
SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina lake?
# JIBU: Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni Sanda Omary...
kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match
Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano...
“Tofauti ya Simba na Yanga ni kuwa Yanga wanapotaka Mchezaji unawasiliana na Mtu mmoja tu ila Simba watu ni wengi sana kwa dili moja, mara Salim, mara Mulamu mara Magori na pia walikuja kwa...
Nianze kwa kusema nimeiona jezi ya Simba na mimi nimevutiwa na ile nyeupe.
Kingine Mimi sio shabiki wa simba.
Ila kwa kinachoendelea kimenifanya nione kua kumbe wana simba mna MATATIZO sana...
Competition is good for business.
I will be short as usual
The real yanga jersey designer was not sheri ngowi but his trustee workers.
So these workers are now hired in simba under sandaland...
Hongera sana boss MO na Sandaland kwa kutengeneza sanda janja (smart sanda). Tarehe 8 Simba itaandika historia mpya kuwa timu yakwanza kufa kwa bao 10 bila kwenye mechi za ngao ya jamii.
Kwa...
Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano.
Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi...
Kutoka kushoto ni Gabriel Gerald Geay, Jackline Juma Sakilu , Alphonce Felix Simbu na Magdalena Shauri wakifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwenda Kwenye mashindano ya Olimpiki Huko Paris...
Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba Sc kama ilivyoripitiwa awali.
Hii ni baada ya nyota huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.