Nasikis paredi imeandaliwa kabisa baada ya kutwaa IST Cup. Wanayanga watatembea vifua mbereee kunadi hicho kikombe ambacho wakifanya mchezo hawanyanyui tena kwapa msimu huu.
Yanga bana...
Haya ni maneno ya Gamond Jana
"Nilikuwa naweza kuimaliza mechi kipindi cha kwanza sema nikahofia kuwavunjia heshima wanyeji wetu walio tualika" ~ Gamondi.
Mambo ya Gamond
Jana goli la kwanza...
Ni habari gani sasa unaweza kuipokea mikono miwili kutoka Yanga? Nje ya nje uliyoishuhudia mwenyewe? Hii haijaanza leo, ila sikutegemea kama ingeendelea hadi leo.
Taasisi yeyote kuwa katika...
Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini.
Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje...
Mnyonge mnyongeni huyu mzee ndio ametambulisha kwa ukubwa matumizi wa hayo maneno kwenye uwanda wa football hapa nchini.
Simba wamlipe huyu mzee kwa kutumia hayo maneno.
Kama humjui mzee mbwiga...
Naombeni msaada kwa mtu yeyote au fundi ambye anajua frequency za kisimbuzi cha Canal +, nmenunua lakin fundi ameniomba niulizie frequency zake.
Na je ushauri, dish lake la Canal + naweza pata...
Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki...
Yanga walicheza mpira mkubwa hadi mashabiki wa Kaizer chiefs walipokuwa wakizomea Kwa nguvu mwanzoni mwa mchezo walianza kushangilia Kwa nguvu. Hakika hii ni ajabu katika mpira, team ipo kwao ila...
Post aliyoweka jana akiaga mashabiki kaifuta kwenye ukurasa wake, je ni kweli kaondoka tena au ni kiki tu za michezo ila alikuwa amemaliza mkataba wake na hivyo kuongezewa mkataba mwingine?
Zaidi...
Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati...
Hii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya...
Rais wa clabu ya yanga Eng. Hersi pamoja na makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini aliyekua msemaji wa yanga Ali Kamwe katika nafasi yake ya meneja habari na mawasiliano na...
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Fredrick Mwakalebela umesema hautaweza kuvaa jezi yenye nembo nyekundu ambayo ni nembo ya wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom...
Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata.
Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika...
Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda...
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.
Mwingine jana usiku...
Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.