Contract signed: Mosley-Mayweather set for May 1
Shane Mosley, the No. 3-ranked fighter in the Yahoo! Sports ratings, has signed his contract to face Floyd Mayweather Jr. in a welterweight...
Wadau wa Tennis tuhabarishaneni yanayojiri huko Australia.
The Australian Open is the first of the four Grand Slam tennis tournaments held each year. The tournament is held each January at...
E bwana e
Hii itakuwa kwenye Valentines Day, Cowboys Stadium , Arlington, Texas, is the place to be.
The cream teams are:
East:
Chris Bosh (Toronto)
*Kevin Garnett (Boston)
#Al Horford...
Worgu set to quit Sudan
Nigeria star Stephen Worgu says he wants to leave his Sudanese club El Merreikh after only one year.
He was recently sentenced to 40 lashes and a fine for...
AC Milan waliutawala mpira kwa kipindi kirefu, huku wakigonga pasi na skills za ajabu...
Lakini mwisho wa mechi ''kunguru kanyea manati''...
Inter 2-0 Milan.
AC Milan bado wana nafasi kubwa...
Nimejaribu kuisoma na kuichanganua timu yetu ya taifa na kujiuliza je? nini chanzo cha kutofanya vizuri katika michezo ya kimataifa? je? inawezekana kwamba ni tatizo la kocha kama wengi wetu...
Kweli wenye visa watu,Kampuni ya IPP Media amepiga stop habari zozote zinazohusu klabu ambayo kwa sasa ni gumzo hapa Afrika mashariki na kati kwa ushindi mfululizo.
Kwa mfano ushindi wa simba...
Wakati umeenda wapi wana JF?
Napata uchungu nikikumbuka raha iliyokuwa inapatikana kwenye michezo wakati ule, nilisoma Tanga na wakati ule tulikuwa na timu mbili daraja la kwanza African Sports...
Timu zetu hazifanyi vizuri, hivi tunashindwa hata kuwa na referees wanaotuwakilisha kwenye mashindano kama CAN-Angola??
je kuna uhusiano kukua kwa mpira na kuwa na mareferee wazuri??
Sioni...
Soccer fun's
Tunataka kupata kocha wa timu yetu ya taifa kuchukua nafasi ya Maximo ambaye muda wake unamalizia - sasa basi:--
Ni bora kufanya kazi na mtu unayemjua na unajua uwezo wake na...
Mkenya kashinda hii kitu kama kawaida yao...
Sammy Wanjiru of Kenya reacts as he crosses the finish line to win the Chicago Marathon October 11, 2009. By winning Sunday's race, Wanjiru topped...
Jamani kwa mlioona mechi ya angola akitolewa
nimefurahisana wakati wimbo wa taifa ukiimbwa
goalkeeper mzungu wa angolaaliniacha hoi alipo
nynyua kichwa chake na kana kwamba anaona ile
kamera...
Ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani wa Sansiro klabu ya soka yenye mafanikio mengi zaidi ya kimataifa yaani AC Milan iliweza kuibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya timu ya Siena.
Shujaa...
WIKI iliyopita kulikuwa na msuguano baina ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na klabu za Yanga na Simba.
Msuguano huo ulitokana baada ya mechi ya Yanga na African Lyon kuonyeshwa kwenye...
LUANDA - The deadly attack on the Togo team bus could have been avoided, the Africa Cup of Nations local organising committee (COCAN) insisted on Wednesday.
Togos assistant coach and its squad...
Kuna habari kuwa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF hawataongeza muda wa mkataba wa kuifundisha timu ya taifa ya Tanzania kwa kocha Marcio Maximo utakapokwisha mwezi wa Juni. Hivyo...
MIMI BINAFSI NAMZIMIA HUYU JAMAA AJE KUMRITHI MAXIMO....WADAU VIPI?(ANAWEZA KUWA BEI POA PIA LAKINI VASTLY EXPERIENCED)
African Nations Cup: What Next For Stephen Keshi After Mali Exit...
By ANTONY KASTRINAKIS
Published: Today
Add a comment (28)
CARLOS TEVEZ last night branded Gary Neville as 'stupid' and a 'bootlicker'.
The Manchester City ace launched a vicious attack...