Jan 6, 2010
Ivory Coast coach Vahid Halilhodzic heaped praise on the Tanzanian national team who were beaten 1-0 by The Elephants on Monday during a friendly match played in Dar-es-Salam, saying...
Ndoto ya Tenga kuitangaza TZ kwa njia ya mpira hatimaye imelipa, leo kwa mara ya kwanza BBC WORLD kipindi cha michezo kimetangaza habari za Tz kucheza na Ivory coast. Ingawa focus yao ilikuwa kwa...
Kuna jambo linalonitatiza kidogo. Jambo lenyewe ni mabati yaliyozungushwa kwenye uwanja mpya wa Taifa tangu kipindi unajengwa hadi sasa wakati ukuta umekwishakujengwa na makabidhiano baina ya...
Heshima mbele wakuu,leo Timu yetu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) inacheza na Timu ya Taifa ya Ivory Coast(Les Éléphants) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa.Ni vizuri tukawa tukipeana updates...
Wana JF hebu someni nukuu ya sehemu ya ari ya Kocha wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast;
Alisema,"Tumefikia katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski na tunahisi tumeishafika juu ya mlima Kilimanjaro...
Wana JF nimepita kwa Michuzi ni kakutana na hii habari, kinachoniuma ni Serikali kutumia pesa hizi na kusahau kuwa kuna kina mama wanajifungulia nyumbani kwa kukokosa hata usafiri wa baiskeli...
Uongozi wote wa tff ,waziri wa michezo,na wote waliohusika na ujio wa timu ya taifa ya IVORY COAST kitendo mlichowafanyia waandishi wa habari tunaomba mkome kurudia uchafu mlliowafanyia waandisho...
Chelsea midfielder Frank Lampard has been selected as the Premier League's Player of the Decade, by facts and figures' wizards Opta.
Opta, who studied every Premier League game since January...
nashangaa vurugu mechi ya kumgombania Manji huko Yanga, kwani timu haiwezi kuendeshwa bila misaada yake.kama vipi mimi naona umefika wakati timu iuzwe kwa mtu anayeweza kueiendeleza.
Lawama ya kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga kwenye hatua ya nusu fainali ya michuano ya Tusker, imemuangukia beki huyo ambaye anashutumiwa kuwa ni kawaida yake.
Habari za uhakika kutoka ndani...
Premier League - Paper Round: Real Madrid want Wayne Rooney
Eurosport - Sat, 02 Jan 08:12:00 2010
Real Madrid are to begin a £60 million campaign to bring Wayne Rooney to the Bernabeu.
The...