Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kibu kala pesa kawakimbia makolo ....now anakula pesa za mbu mbu mbu huku roho yake akitamani kuwa mwananchi .....ni sawa na demu unampenda to the maximum na unauza kuwanja Cha urithi unampa pesa...
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Ninapata mashaka sana kwenye hiki kinachofanywa na KIBU DENIS, kwanini ANAJIAMINI sana na kufanya mambo ya ajabu namna hii? Mchezaji umesaini mkataba mpya ata mwezi aujaisha alafu unagoma makusudi...
3 Reactions
8 Replies
753 Views
I will be short Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela. contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350, mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50. Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Ikitokea Timu X na Timu Y zinacheza fainali ya maamuzi ya mpira wa miguu. Mpira ukachezwa kwa dakika 120 ngoma droo. Lakini Timu X iko pungufu baada ya wachezaji wake wawili kutolewa nje kwa kadi...
5 Reactions
15 Replies
912 Views
“Tutasaidiana kusukuma miradi ya kampuni (Yanga), nitashiriki kwenye Wiki ya Wananchi najua Tarehe 3 kuna watu watakuwa wanafagia uwanja alafu tarehe 4 sisi tuna jambo la kitaifa hili sitakuwa na...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Maoni kuhusu kunyang'anyana wachezaji katika soka la Tanzania yanaonyesha changamoto kubwa zinazokabili michezo nchini. Kuna tofauti za maoni kuhusu sababu na suluhisho la tatizo hili. Hapa kuna...
1 Reactions
1 Replies
289 Views
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Huyu jamaa ni tapeli sana, anajua mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo na hawana maarifa hivo kaamua kuwaingiza kwenye mfumo wake Jamaa ye mechi anazokaza ni vs yanga tu maana anajua akipiga...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii huwa inanishangza,je mpira ni kipaji au kujituma? Kibu ana kipaji au anajituma Utaambiwa anajituma
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kibu anaidengulia Simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana, Kibu aelewe Simba ni kubwa kuliko yeye.
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Andy Murray Andy Murray (37) anatarajiwa kucheza katika michezo ya mmojammoja (Singles) na wawiliwawili (doubles) kwenye Michezo ya Olimpiki itakayofanyika Julai 27 – Agosti 2, 2024 Nchini...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Kama umezoea kuangalia spy movies utanielewa,ila kama umezoea bongo kovie hautoniekewa. Haji anachukua mishahara miwili,kutoka kwa Mo na kutoka GSM, Simba ikifungwa huwa anaenda chooni kulia...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Uongozi wa simba kuna mda unashangaza sana Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha Kwanini...
2 Reactions
23 Replies
973 Views
DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Ewe mpenzi wa soka la Tanzania, habari zikufikie popote ulipo kuwa kikosi cha Simba SC kimeanza vizuri katika maandalizi yake ya Msimu mpya huko nchini Misri. Hii ni baada ya kukichapa kikosi...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Uzi unajieleza wenyewe Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea...
15 Reactions
30 Replies
1K Views
Kumbe hata mkataba wake KMC Haukwisha! Afisa Mtendaji mkuu wa KMC FC Daniel Mwakasungura amethibitisha utata juu ya usajili wa kiungo Awesu Awesu aliyetambulishwa na Simba hivi karibuni...
3 Reactions
13 Replies
914 Views
Back
Top Bottom