Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
SABABU NI HIZI.
1.Mpira wa Tanzania unaendeshwa Kisiasa,kwakuwa mimi sipendi siasa hivyo rasmi nimebwaga manyanga.
2.Upendeleo wa baadhi ya Timu hasa...
Kumekuwa na tabia inayokera sana ya wachezaji kuruhusiwa hovyo na viongozi wa timu kwenda makwao eti tu kwasababu za matatizo ya kifamilia na hili naliona sana katika klabu yangu pendwa ya Yanga...
Habari wana JF leo nimeona tujadiliane hili liliotea wiki iliopita baada ya baadhi ya wachezaji wa team ya ARGENTINA kuimba kua 👉(kuna wachezaji wanacheza ufaransa ila wazazi wao na asipi yao ni...
Hivi unaukumbuka mkasa ulioitikisa Kilabu cha Inter pale walipo msajili Ronaldo de Lima maarufu huko Itaguai Nchini Brazil kwa jina Elgodo yaani Bwanyenye?!
Inter walimsajili Phenomeno kwa...
Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza...
Chama kwa sasa ni 37-38, kwa umri wake ni kwamba Yanga wamempata Dakika za jioni sana pale ni msimu mmoja tu watampa thank you, sababu cha kwanza mshahara mkubwa alafu Yanga yenyewe imekamilika...
Klabu ya @dodomajijifootballclub imetangaza PETER MANYIKA Sr Kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo.
Chanzo: ligikuu.com
Hongera sana Mexime Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC kwa kuamua Kumvuta Rafiki...
EDO: WATU WASIPOKUWA MAKINI WATAPIGWA TENA 5.
Imagine FC Augsburg inakamia mpaka imesahau kama inacheza na Yanga badala yake wanadhani ni Bayern. Hakika hii Yanga ni lidude likubwa. Tukutane...
Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu .
Ingawa na siasa inachangia pia ...
Nyie sinamzijua sana kejeli?
Nyie si mna midomo?
Nyie si mmesajili mnauhakika?
Tarehe 8 . 8 ni siku kuu ya wakulima hivyo siku hiyo tutahakikisha msipoleta timu uwanjani tutawafuata huko huko...
Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita.
Inadaiwa...
Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini.
Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu?
Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae...
Zambrotta alikuwa na Kadi ya Njano, hivyo Thiery Henry alitaka kutumia mwanya huo kumpandisha hasira ili apate kadi nyingine ya Njano na kutolewa nje.
Mara kwa mara Henry alikuwa anapita ubavu...
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona.
Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama...
Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka.
Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha.
Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.
Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja...
https://m.youtube.com/watch?v=1weIrkCNRgw
SuperSport presenter Thabiso Tema chats to Kaizer Chiefs Marketing and Commercial Director Jessica Motaung and Young Africans President Hersi A. Said...
Kuna tetesi kuwa Nabi ameamua kwenda kufundisha klabu ya Kaizer chief baada ya kufikiana makubaliano ya pande zote mbili.
Baada ya kuifundisha Yanga kwa misimu miwili yenye mafanikio kwa ngazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.