as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
Kevin De Bruyne is STAYING at Man City this season, insists Pep Guardiola, despite reports claiming Saudi club Al-Ittihad had agreed terms with the veteran star
Kocha wa Manchester City, Pep...
Haji Manara, semaji la Yanga lilifungiwa kujihusisha na masuala ya soka na likapigwa faini kwa utovu wa adabu.
Hata hivyo, licha ya kufungiwa, Manara aliendelea kujihusisha na mchezo wa soka kama...
Hersi has experienced a lot of backlash recently, and the way I see it, he is facing trial after trial.
Magoma's issue started with Manara. The case was attributed to fans not wanting Manara...
Timu ya Yanga kesho itatupa karata ya pili katika mashindano ya Mpumalanga cup kwa kucheza dhidi ya TX Galaxy.
Mechi itakuwa live Azam sport 1 HD saa kumi jioni. Mechi ya Yanga ya kesho...
Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano...
Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo.
Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao...
Karibu tena mtaalam wa hamasa Bugatti.
Wewe ni mwananchi halisi.
Unaipenda Yanga kutoka moyoni.
Utaipandisha team yetu thamani.
Manara ndo mhamasishaji mkubwa Tanzania ataipa Yanga thamani...
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia...
BAADA ya sintofahamu ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kutoongozana na kikosi cha timu hiyo kwenda Afrika Kusini, Tumezinyaka sababu ziliyomfanya asiwe sehemu ya kikosi hicho ni ishu...
Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri.
Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio...
Habari ndugu zangu
Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora...
WAKATI Kocha Mkuu wa Augsburg, Jess Thorup, inayocheza Ligi Kuu ya Ujerumani Bundlesliga, akiimwagia sifa Yanga kutokana na kiwango ilichoonyesha katika mechi ya juzi nchini Afrika Kusini, Kocha...
Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na...
I will be short
manara ni time bomb atakuja kuibomoa yanga as a big brand. hatakiwi hata Kusongea karibu na wachezaji wa yanga.
with big names in yanga huyu jamaa will destroy everything...
Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo.
Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye...
Sudan Kusini wamefuzu kushiriki michuano ya Olympics upande wa wanaume leo 22-7-2024
Miaka 14 iliyopita Taifa hili lilijipatia Uhuru kutoka kwenye mikono ya Sudan ya Kaskazini ile ya Dikteta Al...
Kwa shauku aliyonayo si ajabu akawa analinoa koo lake na maziwa ya ngamia mara tatu kwa kutwa, kifungo chake kinaenda kuisha mwezi huu, si hivyo tu bali Yanga ikiwa imebeba makombe muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.