Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa...
3 Reactions
8 Replies
635 Views
Mamelodi Sundowns na Rhulani Mokwena walihitimisha kwa amani makubaliano ya kukomesha ajira ya Rhulani Mokwena kama Kocha Mkuu. Sundowns inapenda kutoa shukurani zake kwa Rhulani Mokwena kwa...
6 Reactions
15 Replies
875 Views
Ukisikia Utapeli ndio huu! Yaani wanatuona mabwege sana! Wameokota Bondia wanapojua wenyewe wanasema ni Msouth, nadhani Azam na hivyo vitasa vyao wamefikia kikomo
1 Reactions
4 Replies
412 Views
Eng Hersi Said akili nyingi Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende. Kesi iliyoamuriwa mwaka 2022 iwe Leo ndo ihitaji maamizi. Mbumbumbu wamegoma kustuka wapo usingizini...
11 Reactions
44 Replies
5K Views
Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu, Leo nipo hapa Kabwe- Mbeya wapi kuna Banda zuri la kucheck hii mechi ya Yanga & Augsburg
2 Reactions
16 Replies
732 Views
Sijawahi kumuona De Bruyne au Toni Kroos kabeba Play Station wakati timu ikisafiri, huu ushamba upo jangwani tu.
22 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwa sasa ni ngumu kuelewa kwa kua timu ya Yanga sc inapata matokeo na ndiyo maana ukihoji kitu kuhusu Yanga SC mashabiki wanona kama umetumwa au wewe ni mamluki tu upo kuichafua Yanga SC na...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Salaam watu wa soka Baada ya timu yetu Singida Black Stars kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA kwa kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili, maswali yamekuwa mengi mno. Tulisema mapema...
4 Reactions
16 Replies
648 Views
Salam! Moja kwa moja napenda kumpongeza Mzee Juma Magoma kwa ushujaa wake wa kusimama mbele ya utawala wa Farao wenye lengo la kupora hazina ya wanachama wa Yanga. Inahitaji utulize kichwa...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Kama Yanga SC wamekuamini kabisa ukawa Mkuu wao wa Sheria kuna mahala naona unaenda Kuharibu pakubwa.
5 Reactions
21 Replies
931 Views
Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa... Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu Yanga hoyeeee
3 Reactions
8 Replies
383 Views
Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya...
1 Reactions
16 Replies
925 Views
Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo walima alizeti wamekutana na kipigo kikali sana cha magoli matstu kwa moja. Licha ya kufanya usajiri mkubwa lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo. Kocha uchebe falsafa yake mpira wa chini ule...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kesho tarehe 20 pale Afrika ya Kusini kutakuwa na mechi kati ya Yanga na Augusbrg ya Ujerumani. Ningependa kujua mechi inachezwa saa ngap na kuonyeshwa chaneli gani?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nauliza tu taifa hilo why halina watu weusi wakati mataifa jirani yao wamejaa tele.
7 Reactions
85 Replies
7K Views
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea...
11 Reactions
86 Replies
4K Views
FARHAN:YANGA NI DARASA LA MPIRA TANZANIA AIDHA UHAMASIKE AU UCHUKIE “Mahusiano kati ya Yanga na vilabu ndio ambayo yamewapa mualiko Afrika Kusini, mahusiano ya Yanga na mawakala ndio ambayo...
8 Reactions
17 Replies
663 Views
Back
Top Bottom