Kesi ya Msingi ya Mzee Magoma ilikuwa ni kwamba " Uongozi uliopo wa Yanga hauna uhalali kwa sababu umeingia madarakani kwa mujibu wa katiba ya mwaka 2020 ambayo yeye Mzee Magoma anasema katika...
Kuna upuuzi mwingine ni wa viwango vya lami, mahakama pamoja na weledi wake ilishindwa kunusa hali yoyote ya uhuni kwa awa wakina magoma na mwenzake? Wajumbe wa Baraza la wadhamini aliowashtaki...
"Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea...
Hello!
Mimi si shabiki wa mpira kivile ingawa naipenda Yanga kuliko Simba . Hakuna timu nitavutiwa mpaka nikatoa pesa yangu kununua jezi.
Turudi kwa Mzee Magoma, huyu kafanya haki yake kikatiba na...
Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu,
Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu.
Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria...
Salam.
Hii inatokana na mafanikio makubwa ya Yanga iliyoyapata na inayopanga kuyapata mengine..ndio maana hii habari ya yanga ya kutakiwa 'uongozi kuondolewa' imekuwa kubwa sana.
Kama yanga...
Naam, ni Hakika!
Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024.
Mashindano...
Kauli iliyotolewa na afisa habari wa Yanga bw Ally Kamwe kwa kuwaita wa ovyo watu waliotinga mahakamani kupinga uhalali wa uongozi wa Yanga na kupewa ushindi ni kuidharau Mahakama iliyotoa hukumu...
Yanga wanachofanya ni kutafuta milage tu hamna cha kesi wala nini, kila kitu wamekipanga ili kufanya hamasa ya siku ya mwananchi na haya hayajatokea kwa bahati mbaya.
Siku watanzania tukiyaekewa...
Nimeipitia kwa haraka haraka ni kwamba waliofungua shauri (Juma na Mwipopo) walikuwa na hoja KUU 4 ambazo ni;
1. Mahakama iseme bodi ya wadhamini ya Yanga iliyopo madarakani kwa sasa ni batili...
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.
Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro...
Mwanasheria/ Jaji mzuri ni yule anae paswa kutazama sheria kama inavyo paswa kuwa na sio kama ilivyo andikwa.
Lakini hii haipo kwa wanasheria wa Tanzania. Wengi hawana busara. Wanakariri...
Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi.
Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa...
Yanga inafanya mkutano na waandishi wa Habari muda huu, fuatilia hapa kitakachojiri
https://www.youtube.com/live/EX22v01thd8?feature=shared
Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick amekiri...
Huyu ajiita injinia aliyesomea DIT ,huyu sijui wakili msomi huyu CPA,yule sijui nani sijui ila jana wamelala na viatu.
Mzee Magoma weka namba ya mpesa tuanze kukuchangia,Wewe ni generation Z wa...
Natoa wito kwa jeshi la Polisi kuhakikisha kwamba, Wazee hawa wapenda haki walioshinda kesi ya kuikomboa Timu yao ya Yanga kwenye mdomo wa Mamba Wanalindwa
Tumemsikia Mwanasheria wa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.