Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ishu ya wazee na Yanga ipo serious sana Hii ni moja ya kurasa za hukumu ya mahakama ambayo inasema- a) Kwamba, mahakama hii tukufu iombwe kutamka kwamba Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Michezo ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na...
2 Reactions
9 Replies
712 Views
Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita...
1 Reactions
3 Replies
404 Views
Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane. Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahakama imetoa hukumu kuwa Uongozi wa Yanga hauko madarakani kihalali hivyo uondoke na uchaguzi ufanyike upya kwa katiba halali ya mwaka 2011. Ukisoma mitandaoni utaona kuwa Vijana wamekasirika...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
GSM ndiyo wamesimamia huu Mchakato mzima. GSM hawa hawa ndiyo kwa 99% wanaendesha 'Operations' zote za Yanga SC na cha Kushangaza tena Mmoja wa Watendaji Wakuu wa GSM Injinia Hersi Said nae...
11 Reactions
73 Replies
6K Views
Wakuu Je Kuna connection yeyote ya CEO la caf confederation team de Simba ( looser cup team) Imani kajula [emoji23] ya kujiuzuru na ujio wa VAR??? Coz hizi taarifa zote zimekuja Kwa kishindo na...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na: Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi...
1 Reactions
2 Replies
507 Views
Wachezaji wa Yanga wameingia kambini kwaajili ya kufanya mazoezi kujiandaa na msimu mpya ila hadi sasa Diarra, Musonda na Aucho hawajaonekana kambini na hakuna taarifa yeyote iliyotolewa kuna...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Tayari Mtaalam wenu wa Tegeta ( Dada ) na yule wa Lindi ( Mpwa wake Boss Kwetu ambaye pia anatumiwa na Boss namba Tatu nchini ) Watu wameshamalizana nao. Huyo wa huko Ikwiriri Mkoani Pwani...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Huu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
14 Reactions
169 Replies
16K Views
Huwa nikipita mitandaoni nasikitika sana kwa mashabiki wa Simba kumbull mlezi mkuu wa simba, kumtukana matusi ya kila aina eti kisa wana muwekezaji Mo. Sisi tulioapa kuwa simba haiwezi...
11 Reactions
106 Replies
10K Views
Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Imani Kajula aomba kuondoka klabuni hapo Klabu ya Simba inapenda kuujulisha umma kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imeridhia maombi ya Afisa Mtendaji Mkuu Imani Kajula...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hakuna habari njema iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa mnyama kama habari za THANK YOU YA PAR OMAR JOBE pamoja na THANK YOU YA BABACAR SAR. Siku 183 zimetosha kabsa kwa Joeboy kuonesha...
3 Reactions
10 Replies
573 Views
Siku ya jana tulishuhudia. Siku maalum ya kuonesha vifaa vipya na vya kisasa vya kurushia matangazo ya mpira. Kutoka Azam tv sambamba na hilo tukathibitishiwa rasmi matumizi ya VAR kwenye ligi...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Uefa wametangaza kikosi chao bora cha mashindano ya Euro kwa mwaka 2024 yaliyofanyika huko Ujerumani. Kwa kikosi hiki, unakubaliana na Uefa? Kama hukubaliani nao, tuambie nani atoke, nani aiingie?
7 Reactions
7 Replies
696 Views
Bodies of jf, i salute you! Usajili wa yanga kwa wachezaji wapya umesemwa sana sana! Wapo waliosema yanga kwa Chama wamelamba dume, wapo waliosema yanga kwa Dube wamelamba dume! Wapo waliosema...
6 Reactions
5 Replies
696 Views
Kwa uzoefu wangu aviator ni casino nzuri na bora kuliko zote ukiwa na nidhamu nyema huwezi kulost kijingajinga, mara nyingi wanaopoteza ni walimbukeni watamani vya juu zaidiii. Naweka odds zangu...
7 Reactions
58 Replies
11K Views
Ila hawa Azam Fc wana mikwara; kabla wiki haijaisha wamejigamba kushusha mashine moja matata mnoo ukimcompare na Bukayo Saka ni kitu mulemule. Je unadhani atakuwa ni mchezaji gani huyo ?
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Back
Top Bottom