Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki...
Timu ya Yanga imealikwa nchini Afrika Kusini katika mashindano ya Toyota Cup na TS Galaxy.
Mashindano ya TS Galaxy yatarushwa live na kituo cha matangazo cha SABC na mashindano ya Toyota cup...
Process ilienda vizuri tu kwanzia kuomba ushauri kwa wahispania hadi kwenye kuandaa katiba mpya iliyoendana na mfumo mpya wa mabadiliko, hii katiba ilipitishwa na wanachama wote wa klabu ya Yanga...
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton&Hove Albion Ya Wanawake ya pale Ligi Kuu Ya Uingereza
Aisha mwenye umri wa miaka 20...
Katika tukio la kihistoria, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Rais wa Yanga, Injinia Hersi Saidi, kuachia ngazi kutokana na ukiukwaji wa katiba ya klabu. Je, mahakama ina mamlaka ya kutoa...
Hata nyaraka za Usajili walizosaini Hawa viongozi ni batili. Hii inapelekea kua hata wachezaji waliosajiliwa Kwa nyaraka za huyu bwana ni wachezaji batili.
Ki msingi mechi zozote walizocheza Hawa...
Nawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.
Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa...
…Yanga ni kama kuwaweka watu sawa, ukweli ninachokiona mimi kuna kitu kikiubwa kinaenda kuwashukia timu nyungine. Kinachoenda kutokea huko kitasikitisha sana. Natamani kushauri, lakini sioni namna...
Simba Nguvu Moja!
Tunajua hii sinema ya MAHAKAMA imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuwapoteza maboya timu ya SIMBA ili isi FOCUS na mambo yake muhimu na vile amejua simba ya sasa inaenda ama...
Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu...
Mimi kama Mwanayanga lia lia naunga mkono hatua ya mahakama tutengua uongozi uliopo kwenye club yetu. Kwani haukuzingatia katiba yetu.
Wazee wameupiga mwingi tuwapongeze, tusiwabeze, kwani...
jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa...
Katika Mchezo wa Final ya Euro 2000 Italy walipoteza Mchezo baada ya Ufaransa kusawazisha goli Maji ya Jioni na kisha kuja kufunga goli la kifo katika zile dakika 30 za Extra Time.
Hii ilituumiza...
Baada ya Hersi Said kuomba Uenyekiti kwa kudanganya umma kwamba eti kaombwa na Wazee, sasa ni dhahiri ule mpango wa gizani wa GSM kuichukua timu ya Yanga bila jasho umetimia.
Hakuna cha bure ...
Wakuu kesho saa nane mchana kutakuwa na mkutano wa Yanga na wanahabari.
Tusubiri watatii agizo la mahakama au watakata rufaa.
Bundi katua Jangwani, ugali wa moto mboga ya moto.
Pia, soma=>...
Hizi propaganda zisizo na maana zenye malengo ya kuvuruga soka la Tanzania linapaswa kupingwa na kukemewa vikali. Hakuna mzee wa Yanga mwenye akili timamu, akatoa pesa mfukoni, maana kufungua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.