Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Unaambiwa ni hatari sana, hii ni baada ya duka moja la wachina kuanza kuuza fulana zenye picha ya Shujaa Magoma. Unaambiwa baada ya muda mfupi mzigo wa kwanza ulioletwa ulipukutika kama vumbi...
24 Reactions
49 Replies
8K Views
Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko...
1 Reactions
12 Replies
727 Views
Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
3 Reactions
11 Replies
735 Views
Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika. Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Huyu Mwamba amewahi kucheza Soka enzi zake?
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Akihojiwa na Youtube TV ya S500 TV, Mzee Magoma ameeleza mengi kujibu hoja za uongozi wa Yanga, na mojawapo ni kuweka wazi kuwa Ali Kamwe (msemaji wa Yanga) ni shabiki wa Simba na alilijua hilo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni mashine moja tu inaitwa Magoma, akija Mwaipopo je? Inasemekana Mwaipopo ni machachali sana, Magoma anasubiri. Katika mahojiano yake na Sports HQ, Magoma amesema kwamba Haji Manara wakati...
21 Reactions
47 Replies
8K Views
BAADA ukimya wa muda mrefu , Timu ya Taifa ya Riadha ipo kambini Sakina , Arusha tayari kuanza kuendela na maandalizi ya mashindano makubwa ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai 26 hadi...
1 Reactions
7 Replies
366 Views
Hukumu hii ni ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hukumu inatokana na kesi ya msingi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo...
3 Reactions
2 Replies
390 Views
Haji Manara alipokuwa Simba alikuwa bega Kwa bega na Mo, hata walipotokea wazalendo wengine kujaribu kumuuliza Mo kuhusu bilioni 20 yeye alikuwa mbele sana kuwapinga na kuungana na wengine kuwaita...
11 Reactions
13 Replies
877 Views
Hizi timu mbili zinazoitwa za wanachama kwa nini uongozi wao hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani? Ukirejea haya malalamiko ya huyu anayeitwa mzee wa Yanga, Magoma na Hamis Kigwangala wa...
4 Reactions
18 Replies
630 Views
Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu. Juzi kati Simba watu wamebadishana...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Siku kama ya Leo Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de assis Moreirra aliezaliwa Port Aregre Nchini Brazil alikubali kujiunga na klabu ya AC Milan ya Nchini Italia. Kuanzia Siku hio Mpaka...
8 Reactions
22 Replies
947 Views
Wapewe maua yao hawa KMC, Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa, Mechi iliyofuata ya...
7 Reactions
35 Replies
8K Views
Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni...
1 Reactions
5 Replies
936 Views
Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis swala la mtu kutaka...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Inawezekana vipi katika Mauzo ya Jezi zetu Yanga SC inapata Shilingi 1,300/= tu kwa Jezi moja huku Jezi zikiwa zinauzwa kuanzia Shilingi 35,000/= hadi 40,000/= hapa Dar es Salaam ila huko Mikoani...
2 Reactions
1 Replies
263 Views
Zamani sana Jijini Milan nchini Italia miaka 16 iliopita kulikuwa na jina la Playmaker mmoja mstaarabu mno, muungwana kutoka Mji wa vipaji wa Sao Paulo ni kama vile Morogoro kwa Tanzania, Ricardo...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna...
13 Reactions
66 Replies
4K Views
Back
Top Bottom