Harry Kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu Bayern Munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa...
Uwanja wa Mkwakwani ulikuwapo tangu enzi za Uhuru. Mwaka 1973 au 1974 ulitumika kwenye mashindano ya Taifa Cup. Cha kushangaza siku hizi unaitwa uwanja wa CCM Mkwakwakani ilihali CCM yenyewe...
Wadau hamjamboni nyote?
Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga
Wachezaji wa kigeni katika klabu ya Yanga msimu 2024/2025
◉ Djigui Diarra 🇲🇱
◉ Yao Attohoula Kouassi 🇨🇮
◉ Chadrack Issaka...
VAR SYSTEM
1. Gharama zake ni kiasi gani?
Kusimika mtambo wa VAR inagharimu £4.6M sawa na 14.5B Tsh.
2. Inaendeshwa chini ya chombo gani?
VAR Huendeshwa chini ya IFAB International Football...
1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti.
2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye...
CEO atimiza ndoto iliyokuwa ikimnyima usingizi. Baada ya kufanikiwa kupiga naye picha, sasa CEO yuko huru kuachia ngazi.
Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imekubali maombi ya Ofisa Mtendaji Mkuu...
Hawa vijana wa Bongo Fm sijajua ama Kwa kusahau ama Kwa kuona si muhimu wamerusha taarifa hii Kwa kuweka kipande tuu Cha maneno ya Mh waziri Mkuu. Najiuliza sana kipi kinawatisha kumtaja aliyetoa VAR?
Sasa ifike muda Wachezaji wa Tanzania wawe wanapewa Elimu ya kujua Kuzungumza hasa pale Mic zikiwa zimewekwa Midomoni mwao kwa ajili ya Wao kusema lolote. Sijawahi kuona Mchezaji wa Ulaya hata...
Ligi ianze namuona jirani yangu shabiki wa simba amenenepa sana[emoji22][emoji22]
Huyu rafiki yangu mwingine ni kolo kindaki ndaki ameanza kuota na kitambi tangu ligi ilivyoisha
I don't want...
On 18 April 2007, Messi scored a goal against Getafe CF which was very similar to Maradona's Goal of the Century, scored against England in the 1986 World Cup. The world's sports press exploded...
Binafsi huwa sibeti na siku nikiamua kubeti huwa nataka nishinde mzigo wa maana. Kwa hiyo ama nitaweka pesa nyingi au nitabeti matokeo ambayo siyo mategemeo ya wengi (yenye odds kubwa sana) kama...
Ni ukweli uliokuwa wazi kwa viwango vibovu vya waamuzi wetu, wanahitaji msaada wa video na kutokana na teknolojia yenyewe inaweza ikawa gharama kidogo.
T.F.F waongee na azam tv, ikiwezekana...
Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na...
Kama kuna mtu ana taarifa za uwepo wa kozi ya ukocha grassroot level katika mkoa wowote ule kwa siku za usoni hivi karibuni anipe taarifa tafadhari.
Ahsanteni sana.
Wakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje
Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa...
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji...
Hongera kwa uongozi wangu wa Yanga kwa kazi inayoendelea mpaka sasa kiukweli kwa kiasi fulani inaridhisha kuimarisha maeneo yaliyokua yanalega lega msimu uliopita. Lakini kuna jambo naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.