Yusuf Mehboob Manji alikuwa ni mmoja wa Wafadhili waliowahi Kuifadhili Yanga Afrika kwa Mafanikio Makubwa.
Baadhi ya Wachezaji aliowahi kuwasajili alikuwepo Kiungo Kamusoko mzimbabwe aliyetesa...
"Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya...
Hawa wapo kimya ila wamejipanga vyema.
Naona wazi akichukua nafasi ya pili.
Azam wameleta magalasa ya huko South America nadhani nafasi ya pili ataisikia redioni.
Mbumbumbu a.k.a zoazoa fc au...
Mcheza mieleka na mwigizaji maarufu kutoka Marekani John Cena, ametangaza kustaafu kushiriki katika Mashindano ya Mieleka (WWE) wakati wa hafla ya WWE Money in the Bank iliyofanyika Canada tarehe...
Timu zitakoshiriki klabu bingwa msimu mpya tayari zimeshathibitishwa, ambapo kutakuwa na jumla ya timu 59.
Katika timu hizo 59, ni timu 5 pekee ndio zitakazoanzia hatua ya pili ambapo ni Al...
Na huu ndo uhalisia uliopoi
•Matumizi ya Yanga yanatia mashaka kidogo,timu ina ratiba nyingi zisizokuwa na faida ..mfano kugawia supu mashabiki kisa kuifunga simba ni matumizi mabaya ya hela ...
Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa kukamilisha duru ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania,almaarufu kama NBC PREMIER LEAGUE,naomba niwakumbushe mashabiki wa Simba na Yanga ili ikiwezekana...
Nawachukia Waingereza kwakuwa wana tabia zile zile za Kelele, Propaganda nyingi, Ujivuni, Dharau na Sifa kama za Mashabiki wa Klabu Moja Kubwa na nisiyoipenda kuliko hata Shetani hapa Afrika...
Kuna mchezo utakuwa unafanyika kwa wachezaji sio bure, kwa sababu naangalia mechi baina ya APR vs Singida Black Stars michuano ya cecafa usiku huu pale chamazi, Tadeo Lwanga anacheza vizuri t...
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni...
Kwako Rais wa TFF,
Shikamoo popote ulipo.
Nichukue muda wangu nisikuchoshe sana, hapa nchini kumekuwa na aina kadhaa za wasemaji wa mpira.
1. Wasemaji viherere.
2.Wasemaji wapiga domo...
Bado tupo nae sana mwamba huyu wale mliokuwa mnasema anaondoka mwamba haondoki na ataendelea kuwapiga mashuti makali sana 😂😁. Mwamba kabakia Yanga SC Cc ephen_
Is here to Stay 🔥 🟡 🟢
Baaasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.