Taarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika na huku Yanga ikishindwa...
Yaan kama kuna mchezaji nimemheshimu msimu huu n mkude
Mkude anajua fursa
Mkude alipoitwa Yanga, Simba walimbeza sana sana
Wakamdharau lakini akaisaidia yanga
Leo hii viongozi wa mashabiki...
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.
Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake (...
Fahari wawili hawakai zizi moja, kipindi Feisal yuko Yanga kuna watu walimuona Aziz ki ni wa kawaida sana, ila kiukweli Feisal alikuwa akipambana mno, waliishia kutupiana majeen tu, Feisal akaona...
Aziz Ki, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumzikoni kwao Burkina Faso kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Baada ya Simba kuongoza katika kundi lililokuwa na timu za Al ahyl na As Vita ambayo ilikuwa na wachezaji hodari kwa kumfunga nje ndani na kisha kutolewa kwa tofauti ya goli moja na Kaizer Chief...
Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu...
Habari,
Kwa muda mrefu sasa nimejaribu kufahamu na kujua chimbuko na historia ya jina YANGA lakini sijapata jibu.
Pia napata tabu kujua tofauti kati ya Yanga na Young Africans kutumiwa na timu...
Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda...
Habari Mwana Michezo.
Mpira kama tujuavyo ni Mchezo wenye Matukio mbalimbali ambayo huacha kumbukumbu katika Akili zetu.
Kwa kulitambua hilo Leo hii nimeonelea nianzishe huu Uzi, hapa utakutana...
Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa...
Inasemekana huyu ndiye mlipaji mkuu wa Yanga , ndiyo benki ya timu , ni Mwenyekiti lakini zaidi ni mgombea pekee wa Uenyekiti kwenye uchaguzi ujao .
Katika kipindi chake tumeona Yanga ikipaa...
Mshambuliaji wa ManchesterUnited, Mason Greenwood anawaniwa na Marseille ya Ufaransa na kama atasajiliwa anaweza kuungana na staa wa zamani wa United, Alexis Sanchez.
Greenwood aliyeichezea...
Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake.
Kocha huyo...