Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama.
Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu...
Ogopa sana kuwa mjinga wakati una akili zako timamu,Na ogopa sana kuwa mtumwa wakati uwezo wa kujitegemea unao.Ni wivu tu ambao umejaa na husda ambazo zinawatafuna Nzala ambao hawana...
JUST IMAGINE HUKU CHAMA , HUKU PACOME HUKU AZIZ KI [emoji119][emoji119][emoji91] WANANCHi
Yanga sc wamemtambulisha mwamba wa lusaka Clatous Chota Chama kama nyota wao Mpya kuelekea msimu ujao...
Imethibitika kuwa kocha la makombe..aka kocha la CAF champions league Gamond anawachora Simba wanavyosajili cheap labor badala ya kusajili quality players
Sababu
Gamond anaamini Ili kuwe na...
Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.
Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo...
Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli
Makosa...
Salaam,
Viongozi wa Simba mnapaswa kufanya usajili kutafuta mbadala wa LAMECK LAWI wakati mkitafuta suluhisho la mgogoro huo. Msisubiri muda unaenda sana.
Tafadharini najua mtaenda CAS ila kwa...
Shalom shalom
Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana...
Klabu ya Simba tumethibitisha kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast 🇨🇮 kwa mkataba wa miaka miwili.
Ahoua mwenye umri wa miaka 22 amesajiliwa kutoka klabu ya...
Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025.
====
Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota...
MASHABIKI WA SIMBA WAMFATA CHAMA YANGA
"Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga...
Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba...
“Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba...
Augustine Okrah jana ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Yanga, sitaki kuwachosha saaaana ila huyu mwamba sio mtu wa kawaida, kama uliwahi kumuona marehemu Celestine Sikinde Mbunga basi...
Mgunda has created a conflict of interest by working for both Taifa Stars and Simba SC.
1. Favoritism from Simba players: Mgunda selects benched Simba players to play for Taifa Stars just because...
Sisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji.
Lakini viongozi na taasisi ya Yanga hawajaupa uzito msiba huu wa kiongozi aloyejitoa muda, nguvu na zaidi pesa zake kuijenga na...
Huyu jamaa ni moja ya watu wenye vipaji na amekuja tofauti kabisa na comedian tuliowazoea. Comedian wenye hutumia maneno kuchekesha, lakini yeye anafanya komedi ya soka
Je, ni nani huyu mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.